how great is our Gooooooood,mimi ni mdau niliyetoa comment ya kulalamika Mungu anisikilizi sala zangu,Jamaniiiiiiiii,mambo yamekuja kufumuka mpaka najishangaa who am i to deserve all this from my Goood.How great you are,nimrudishie bwana nini ?kwa ukarimu wake wooote?cha kurudisha ni kulitangaza jina lake takatifu.
3 maoni / comments:
That's one of my fav worship songs...indeed God is amazing,he's amazing...Jesus is Lord and King of Kings...
Mungu akuangalie familia yako na mapenzi yake yatimizwe juu yako

Post a Comment