Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, February 13, 2012

Order and Flora will help!

Teddy kuna siku uliweka mafuta ya kuondoa stretch marks ya mother special blend kwenye blog yako, some people walitoa maoni yao na kuhitaji hayo mafuta. Mimi naenda home next month, hivyo kama kuna mtu atahitaji naomba uweke tangazo kwenye blog yako mimi nitanunua huku na kwenda kuwauzia. Ila itakuwa kwa order ili nijue idadi gani niende nayo.


NB: pia wanaweza agiza chochote, mie nikafanye nao biashara. Kama mtu akihitaji email yangu nitamjibu kwenye comment.
Thanks, say hi to baby Malaika.
xoxo.


bintigara@yahoo.com

13 maoni / comments:

Anonymous said...

Hi Teddy kindly ask Fllora to put her email adress i would love some stuffz frm uko..kind desparate..
Stellah

Flora said...

My email is bintigara@yahoo.com

Flora

Anonymous said...

Hello Flora

Surely utakuwa umenisaidia sana ukija na haya mafuta, ave sent you my order pls do check ur emails and u'll see.

Mary.

Anonymous said...

Tk,
I need my Lotion and the cleanser plus the soap,

Mama Adrianna

Anonymous said...

haujasema ni kiasi gani,utauza kwa bei ya uku kwetu,asije mtu akaagiza ikamshinda bei ukifika uku

Anonymous said...

teddy mi nataka nywele kama izo za kwenye iyo picha yako ya apo juu(wall yako ya blog),pls niambie zinaitwaje na ni bei gani ili nimuagize flora na ni piss ngapi zinatosha.plssssssss.......alaf mbona mimi nimeweka blowout nywele zangu hazijawa na curl au kuna kitu baada ya kuweka iyo blow out natakiwa nifanye? nijuze pls

Anonymous said...

haujasema ni kiasi gani,utauza kwa bei ya uku kwetu,asije mtu akaagiza ikamshinda bei ukifika uku



Mdau mafuta yatakuwa elfu 50 tu.

Flora

Anonymous said...

kama ni kwa zile stretch marks tunapata tukijifungua nami naomba kuletewa maana mimetwokwa mistari baada ya kupata mtoto early last year

AGNESS

Anonymous said...

inatoa streachmarks za kujifungua tuu au na nyingine za kawaida kama unazo miguuni na mapajani?

Anonymous said...

TK i sent u an emal about my lotion please naomba unijibu mpenzi.

Ubarikiwe.

Anonymous said...

bei gani flora.............

Anonymous said...

Hi Flora,
naomba kuuliza hiyo lotion inatoa stretch marks au mtu anatakiwa apake kabla hajajifungua?Naomba kujua,na pia inaondoa baada ya muda gani.
Mama d.

Anonymous said...

Hellow TK,

Me nataka MyLotion sasa cjui bado sale iko au vipi? hahaha, nataka kubwa plz.

Natumai nitapata panapo majaaliwa inshaallah.

Zaynab

Total Knockout Search!!

Custom Search