Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, January 19, 2012

Mwigizaji Zoe Saldana Amsaidia Bibi aliyepata Ajali ya Gari LA

Mwigizaji wa movie Zoe Saldana aonyesha moyo wa huruma baada ya kushuhudia mwanamke mmoja wa makamo akipata ajali mbele yake hapo jana  mjini LA.  Pichani Zoe alishuka kutoka kwenye gari yake na kumsaidia mama huyo kwa kumuondoa kwenye gari aliyopata nayo ajali na kumweka kando ya barabara. Baada ya hapo Zoe aliwapigia simu watu wa medical ili mama huyo kuweza kupata huduma ya matibabu ya haraka zaidi.


How kind of her!?!...

3 maoni / comments:

Anonymous said...

In America I think is strange kumsaidia mtu aliyepata ajali?naona ni shock adi ukaandika ana roho nzuri eeeh. But Europe ni normal na lazima ukiona ajali au mtu kapata ajali lazima usimame ufanya first Aid na kupiga Ambulance:)

Anonymous said...

i love Zoe and i wish to have her body

Anonymous said...

Sio strange ila kwa Celebrity kwenda out of their way haswa wamatawi ya juu ndio sio kawaida kiviiile. It's the fact kwamba na celebrity naye anafanya jambo la kawaida kama mtu wa kawaida I don't expect Kim K to do that I'm just saying!

Total Knockout Search!!

Custom Search