okay Teddy tunashukuru, vipi kwa sisi Tulio TZ tunaweza kuyapata wapi maana im 7 month preg..!,natafuta sana hiyo kitu ili inisaidie... maana ujauzito wangu unasabishaa niwe nawashwa kila wakati napata shida sana so naogopa nisije kuja kupata Strech Marks!!..
for sure mama malaika kuna wengine tumeshajifungua and we already hav stretch marks tutumie nini angalau kupunguza kama sio kuondoa kabisa...help pls mamie
11 maoni / comments:
jamani theddy,
how do we get it, here in tz
Asante sana Teddy kwa kujali wadau wako, MUNGU akubariki.
Teddy nahitaji hayo mafuta mamii
Mama Adrianna
kwakweli asante sana mamy,ngoja tuyasake sasa tuone matokeo
okay Teddy tunashukuru, vipi kwa sisi Tulio TZ tunaweza kuyapata wapi maana im 7 month preg..!,natafuta sana hiyo kitu ili inisaidie... maana ujauzito wangu unasabishaa niwe nawashwa kila wakati napata shida sana so naogopa nisije kuja kupata Strech Marks!!..
Jamani namimi natakaje?? m havin my 1st baby na nina worry sana abt havin stretch marks hebu tuambie ss tulio tanzania tunayapataje pleasee....
na kwa wale ambao hatukutumia na tumeshajifungua tunatakiwa tutumie nini? Pls Mama Malaika help.
for sure mama malaika kuna wengine tumeshajifungua and we already hav stretch marks tutumie nini angalau kupunguza kama sio kuondoa kabisa...help pls mamie
I think the same oil might help.
Hey Teddy thanks sana for posting this.. tuna yapataje huku Bongo? pls pls pls help.. mimi m planning to be preg ths year..
Sema basi mamie yanapatikana wapi na TZ tukihitaji tunapataje????
Post a Comment