
Last week we heard that Kobe and Vanessa Bryant are divorcing. It's being said that Kobe had at least 105 side chicks during the course of their 10-year marriage, who would know?!...
It is hard to imagine somebody could cheat on such a cute woman like that. But then it makes me wonder why, what leads a partner to cheat repeatedly?!... Is it that they are not in love? Is it that one doesn't do their job well to please their partner or it's just tamaa ya mtu?...
12 maoni / comments:
all men cheat, thats it
Hizo ni tamaa 2 dada TK. Coz kuna wa2 wasiobebeka kwny jamii, hata umbebe na mbeleko gani. When u talk of love, i bliv we marry th 1 we lav. So thts aint a deffence 4cheating.
Could be string of things from tamaa to adrenaline rush that comes from it...but wateva the reason,chreatin is down right Nasty n disrepectful.
Kama mmechokana bora kuelezana ukweli,divorce is neva an option for us believers but hata God made exception wen it comes to infidelity...105 women?dammmnnn kobe didnt know u got"it like that....lol
Well alitegemea nini kuoa m-spanish.....they cant hold it down like mercedez n lakisha,lolo
Firstly she isn't that cute...she is ok! And I believed that she stuck with him for all that time b'se of money!So money is among reasons behind for a partner to cheat. Don't forget lust..many of us like to have multiple sexual relationships.
teddy wengine ndo walivyo nomatter how beautiful you are a how good u treat him yaani hata umlambe miguu still he/she will cheat...wengine ni tamaa tu hawataki kuona mwanamke mzuri kapita mbele ya macho yao anataka amuonje..... na wengine ni uzembe wetu sisi wanawake wengi wetu once tukishaolewa tunajibweteka na kusahau kabisa yaani kama ulikuwa msafi basi unashinda hujaoga siku nzima mwanaume anarudi anakukuta na linguo ulilovaa since morning yaani no kujiremba wala nini kisa nimeshampa ni wangu sasa mwanaume akitoka nje anakutana na vimwana warembo anaona isiwe tabu liache likae hivyo hivyo mi na enjoy zangu......na wengine i think ni communication inakuwa hakuna especial chumbani kuna vitu anakuwa hapati so since hawawezi communicate inabidi ajiendee zake nje akatafute kile anachokosa... hayo ni mawazo yangu
Kimaumbile Teddy wanaume wengi hawawezi kuwa na mwanamke mmoja ndio maana tunafananisha kama Mbwa sio kwa ubaya hata umpe nini nyumbani akifika jalalani lazima anuse lakisi si kama hawapendi wake zao la hasha ule udume dume , kule kusimmisha simamisha bila mpango
Tamaa tu teddy esp kwa huyo ambaye amecheat repeatedly coz km ingekuwa ni misunderstandings na mkewe au ndio hiyo lack of communication basi angekuwa na wa nje hata mmoja...
Lol ila wanaume jamani sometimes wanajua kujiendekeza hata km ndio wanasema maumbile basi wamezidi dooooooh...
Hii hutokea kwa wanawake na wanaume pia. Kila mmoja huwa anasababu zake za kucheza mechi za nje, ingawa wengi hapa wamemsema mwanaume tu. mapungufu katika uhusiano, tamaa na visasi huchangia sana. Wanawake wengi ni tamaa na kulipiza kisasi yaani anavumilia mengi mwisho na yeye anatoka kumkomesha mwenzie, tamaa ya pesa, mavazi, dhahabu, gari, viatu nk vinachangia wanawake kusaliti waume/boyfriend zao.
Wanaume mara nyingi ni mapungufu kwenye ndoa pale ambapo mwanamke anajisahau labda kwaajili ya watoto, kazi nyingi na mumewe hapati upekee,wanaume ni kama watoto ukimsahau atatafuta atakayemjali. Mara nyingine tunafumbia macho tofauti zetu tunalazimisha ndoa ili mradi ndoa baada ya muda tofauti zile zinawashinda kuzibeba hapo unatafuta atakaendana nawe.. nimechoka kuandika
so the other day i posted a rude comment you know what i mean I was stressed. usianzishe ligi maana najua unapenda ligi.
kutamani kila mtu anatamani jaman si wanaume si wanawake, we all have it but going to the extent of actually doing it..mmmh!! thats nasty for sure, and unforgiven....
Wanaume ni watu wabaya sana jamani hawabebeki hata ufanyeje utafanya kila analolotaka lakini bado cheating iko pale pale ,wanawake cheating inatokea pale tu anapofanyiziwa na yeye analipa kisasi usiombe mwanamke akakuchoka(mwanaume) ni kazi kumrudisha nyuma eti,ni wachache sana ktk wanawake wanaotoka kwa tamaa lakini wengi wao ni visasi na kuchoshwa na tabia za waume wao,wanaume ni viumbe wasiotabirika hata tamaa zimewawatawal hata awe na mwanamke mzuri vipi lakini bado atataka nje hawabebebeki
Post a Comment