Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, December 31, 2011

What are your plans for 2012?

Mi' moja ya plans zangu ndogo,.ni kujijengea mazoea ya kusoma vitabu(novel).
2. Be on time
3. finishing what I've started
etc
What about you?

5 maoni / comments:

Anonymous said...

happy new year tk.. plan zangu ni
1. kujitahidi kurudi na kuishi nyumbani kwangu baada ya kushindwa kuingia humo kwa miaka miwili na miezi mitatu na siku 19 sasa tokea mume wangu ameuwawa na majambazi humo.
2. kuanza masomo yangu ya shahada ya uzamivu.
i pray hard to summon the courage i need to accomplish these 2 huge goals. amen

Teddy Kalonga Haight said...

Awwwww,...I am very sorry to hear that! Mungu akutie nguvu!

Anonymous said...

Pole anony..Mwenyezi Mungu akupe nguvu na kukupunguzia mawazo(ingawa nivigumu). Mungu yupo na wewe sikuzote na amini kuwa kila litokealo linasababu. Uwe na Imani na hatakuacha kamwe. Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi mpenzi mumeo.. na hao waliotenda unyama huo watakuhukumiwa...

Anonymous said...

Amen

Anonymous said...

Pole sana, Mungu ni mwema siku zote azidi kukupa faraja na amani ndani ya moyo wako. Uwe strong na usamehe yote. Mungu akubariki

Total Knockout Search!!

Custom Search