Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, November 20, 2011

To Answer The Question on ''How I lost baby weight so fast'':

Swali: ''you look good my dear ila naomba unisaidie kitu kimoja unafanyaje tumbo linarudi flat baada ya kujifungua, kunamtu aliniambia eti kuna mafuta watu wanapaka yanacinyaisha tumbo baada ya kujifungua , nisaidie tk mi nimejifunga 9months back yani 2mbo bado linanisumbua. ihave two kids wote nilifanyiwa upasuaji.''

TK:Hi, dolls! Ahsante, nafikiri mazoezi ya YOGA and PILATES ambayo yako specific kwa mtu mwenye kovu la mshono yanaweza kukusaidia. Mfano: http://www.youtube.com/watch?v=7XuD1ySzOEE
Pia ukijizoesha kuvaa mikanda ya tumbo au "tights shaper", taratibu tumbo litarudi katika hali ya kawaida.
  
Swali: ''Wow!, hawt mama! God Bless you dear, you look stunning, no baby weight in less than two months? what did you do? ebu tupe siri yako gal nasi tupendeze!!??? But seriously, TK, can you PLEASE share with us what you did to loose the weight? you were not that big anyways during preg but am sure you lost some pounds already. Damn!, you look shueeeet!'' 

TK: Ahsante:-)! God Bless you more my dear!
You are right! I did not gain much wait during my pregnancy. I only gain about 30something pounds, most gain 60pounds na zaidi. I don't know if because I was caring a girl or just my genes. As I hear many say if you are pregnant with the baby boy unanenepa au unavimba, wengine inawasumbua mpaka mwisho. Sivyo!?!
I also believe watu wengi wakishajifunguwa uwa wanakuwa na menu nzito, (eating for 2), na unakuta anayeku'take care anakulazimisha ule upate nguvu and all. Pale ndio unakuta mtu ananenepa sana na kupoteza mwili wake wa zamani. Mimi niliendelea kula chakula nilichokuwa nakula siku zote, (health food.) Kunywa maji mengi na juice pia naendelea ku'take my prenatal. 
But also I think it has to do on what I was doing the time I was pregnant. Nilikuwa nafanya mazoezi ya kupandisha vilima vya hapa Hollywood, na kufanya YOGA za mama wajazito 3-4 times a week. Hata ilinisaidia kujifunguwa haraka...15-20mins.
Baada ya kujifungua kwa week 6 nilipumzika ili kupona vyema.
Sikufunga tumbo, just from kunyonyesha, tumbo likarudi ktk hali yake ya kawaida. Wataalam wanasema kuyonyesha kwa saidia ku'lose baby weight. http://www.webmd.com/parenting/baby/news/20081208/breastfeeding-helps-moms-lose-weight


For more questions, please don't hesitate to ask. Email me @: totalknockout1@gmail.com I will be happy to help.



9 maoni / comments:

Anonymous said...

beautifull u look lovely tk.

Anonymous said...

This is great! You look stunning dear and I love that hair and dress. I cannot even imagine how cute your baby is! Ngozi yako unapaka Mylotion au Aveeno bado?
-Jojo

Teddy Kalonga Haight said...

ONLY MYLOTION HUN!

Anonymous said...

Poa,ningependa kuijaribu. I have very oily skin and usually don't apply anything on my face but the rest of my body is dry skin. I want a smooth look. Is it for the face too? I am super cautious about face products:)

Jojo

Anonymous said...

Mmh! nadhani mazoezi na diet vinasaidia sana, watu wanaomudu kufanya hivyo naona ukaa vizuri sana. Kuzaa kwa hara sifhani km usababishwa na mazoezi, miye mvivu sana lakini seven mins tu nilikua nishajifungua, nakumbuka zilikua push tatu tu.

Anonymous said...

kuhusu kuzaa haraka sio mazoezi. Mimi kama mazoezi nilifanya, nilikuwa shule na kufanya kazi.Kila siku jioni tokea mimba ina miezi 3 nilikuwa nafanya mazoezi na kutembea si chini ya dk 30. Lakini cha ajabu nilioverdue na mtoto alikuwa hashuki kabisa. Nilipanda vilima hadi basi nikaja kuishia c- section. Ila mwili wangu ulirudi zamani na tumbo pia kama zamani,nguo zote za zamani ninafit kama kabla ya kuzaa tu.... mtoto anakaribia mwaka sasa. Muhimu ni kufanya mazoezi na kula matunda na vegetables.

Anonymous said...

umependeza saana my dear,teddy.i always like u the way ur.kwanza unatabia nzuri saana na hivyo umempokea yesu ni baraka tuupu ndani ya familia yako huwa nafarijika saana na the way unavyoishi.maana ingekuwa wadada wengine bongo wanaishi hollywood tungekoma kutwa kujishaua na masifa kibao,ila wewe uko cool .Mungu azidikukubariki saana na mumeo na mtoto mzuri malaika.ni mimi ur friend kajuli.

Anonymous said...

did u have a csection or natural..na unavyosema ilikuchukua only 15 to 20 mins does that include labor contractions or was it just pushing time?

Anonymous said...

YOU ARE SO BEAUTIFULL AISEE. MGUU MZURI JAMANI, NA KIATU KIMEKUKAA I LOVE UR DRESS. BE GOOD

Total Knockout Search!!

Custom Search