unaanza story za michael jackson eeh? haya muda si mrefu utamvalisha veil, kama mdau alivyosema hapo juu, be proud with your baby, kuwa mama!!! sio kwamba umtangaze kwenye blog kila siku lakini sisi fan wako ungetuwekea mtoto, sio wote wabaya wako, wengine wana mapenzi mema..usibane
hivi wewe si uyifunge hii blog kwasabu picha au habari yoyote unaweka kwa mwezi mala moja! picha yenyewe ulioweka inasinzia! mtoto mwenyewe unamficha? kwakweli inaboa saaana!!!
8 maoni / comments:
awwwwww sweet.
teddy mbn hakuna mail yako yako hapa kwenye hii new page???? kuna kitu nimependa kwako nataka unijuze thru mail pliz pliz naomba uweke mail yako
mbona malaika unamficha? Twataka kumuona bana....au mdogo sana unataka akue kwanza ndio umuweke? Be proudly with ur baby.
Congrats dear!, Mungu Akubariki with your family na Akukuzie!
unaanza story za michael jackson eeh? haya muda si mrefu utamvalisha veil, kama mdau alivyosema hapo juu, be proud with your baby, kuwa mama!!! sio kwamba umtangaze kwenye blog kila siku lakini sisi fan wako ungetuwekea mtoto, sio wote wabaya wako, wengine wana mapenzi mema..usibane
hi Teddy I love the new page its real totalknock out..its lovely
keep the good work....
That what family is all about salamu kwa Malaika na Baba'ke. u stay blessed.
QR
hivi wewe si uyifunge hii blog kwasabu picha au habari yoyote unaweka kwa mwezi mala moja! picha yenyewe ulioweka inasinzia! mtoto mwenyewe unamficha? kwakweli inaboa saaana!!!
hongera TK
Post a Comment