me, my hubby Codynino with our friends
Kezia, Maumatha, me, Nancy and her brother
Cody, me, Hakeem Kae-Kazim and his daughter Shadha.
Wanseho Stanley, Deo Temba, papaa, andTheresa
Maankuli time...
My friend Melay and Stacey Woods.And the game began...
Nancy, Maumatha wakimwandaa baby Martha kwa game.
Showing the kids runway kama part of the game...
Nancy and Sajata competing on hula game... baby Martha was winning the all time.


16 maoni / comments:
Hatimaye you are back to blogging. Kila nikiingia humu, hola. hamna jipya na nilikuwa na hamu ya kumuona baby Malaika. Nimetosheka tu kumuona kwa thelight ingawa kwa nyuma. Hongera kwa kuwa mama.
Ooh my dear u ril luk gud kipenzi. Nakupendaga sana my mdada n hongera sana mungu azd kukubariki na siku zote usisahau kumshukuru mungu kwa mema yote. Barikiwa sana kipenzi. Cant wait to c the pic of the baby lazima atakuwa kacute sanaaaaaaa
Finally you are back, hongera TK. Malaika looks adorable( Nuru's blog). I hope parenting is fun for you...usipotee sana, this is a fun blog but is like dead volcano kwasasa...
Christine
Teddy umenifurahisha sasa maana nilitaka nidelete kabisa kuingia humu! congratulations dia, najua Mwenyezi Mungu amesha kujalia umejifungua salama, Hongera kwa baby girl wako na nawatakia afya na malezi mema! Mi penda sana wewe! mama D
congratulation dear, mhh you look fab with your kitumbo....nilikuwa naingia humu kila siku sipati kitu but finally....all the best with your new baby and your family!
yeaaaaaaaaaaaaaaaye!! glad your back, you inspire me chica may God continue to give you much more grace.
yaani TK wewe ni mzuriiiii!sikuji bu nafikiri ni ktk anga zote maana hata nikiingia hum blogun nahisi nuru fulani hv moyoni mwangu, nahisi kiroho na kitabia pia u mzuri. good luck babi
Welcome back mama Malaika. Tulikumiss sana jamani, tunasubiri kwa hamu introduction ya baby Malaika. Your shower was absolutely beautiful, ndivyo ambavyo ningependa yangu iwe, very casual and realaxing sio mambo ya unnecessary drama for nothing. Mungu akubariki pamoja na familia yako TK.
Beautiful Pics Mama Malaika...Miss you
Miss Hoza
kizungu zaidi, love you baby, ya so msweet!
umependaza Teddy hongera kwa mtoto,jamani napendaga hizo weaving zako za curl,unaweza ukaniambia naweza nikazipataje?
asante
Hongera sana TK,Mungu awenanyi katika malezi.
YANI ULIPENDEZA NA UJAUZITO HADI RAHA, KASURA KASURI, MIGUU MIZURI, INSHORT CUUUUTE
oooops,at least umerudi.i missed u loads and u look mwaaaa.victoria William.
Well to be honest with you you looked amazing with your pregnancy kama uzae kila mwaka...
At first i had a very negative impression on u but now i adore you and am ur fan...
Congrats for being a mama and welcome to motherhood,am a mother too...
stay focused and never compare yourself to anyone coz u nothing like them and they are nothing like u. Be urself always,i love it wen u r urself...
Ubarikiwe...
Nakupenda sana Tk ur so cute chica na hongera sana kwa kuwa mama!!!mdau Dc.
Post a Comment