Seriously, wabongo we need to grow up! And Global Publisher tell your fans waliotoa hizo comments za kuni'criticize waache ushamba. Kwanini mnakuwa wepesi wa kusemanga wenzenu!?!... Those are maternity professional modeling pictures, za tangazo la nguo za ndani za mama wajawazito." And nothing else!!! --Alafu na nyie udaku mlivyo wachokozi hilo tumbo mmelijaza jaza na photoshop yenu ili mladi tu iendane na hiyo headline ya kujianika. I posted this picture showing half of my belly. What you did is not fair. "My belly is cuter than that"...
And I don't think kama mashosti zangu wananionea wivu. Who said that?... They all happy for me!...

25 maoni / comments:
salam zimewafika lol......
Waambie hao Teddy,halafu wabongo wengi ni maplayer hater na huwa hawapedi kuona mbongo mwenzao anafanya kitu chochote...hata kizuri lazima watacriticize.
Tanzanian they very jealous, kwani tatizo liko wapi jamani mimi kimtazamo wangu naona uko sawa very cute and pretty. anyway achana nao wabongo hutawaweza jealous zimewajaa .
belezee baelezeee mimi mwenyewe nimeona kwenye gazeti nikashangaa, habari tofauti na pic ya blog.. wamezidi hawa..
what do they mean kwamba huo sio utamaduni wako? Wao uko wapi? Hawaoni upo kazini? Wamekulipa ama tu kukuweka magazetini kwao?
Pole mwayego
Mama Marcus
SUE them bwana allah wamezoea wajinga hawaga hadithi hawa
mpz, ukisikiliza wabongo unaumiza kichwa. forget them. U r gorgeous,successful na roho zinawauma. i truly wish there was a wa to sue them. WAsamehe bure huni, just keep taking care of urself, malaika and hubby and keep chasing that paper bb. God bless
U r a lovely person..achana nao wamekosa habari kazi kuchafulia wenzao majina..me luv u xo much.
Mimi ushauri wangu kama mtu mzima fanya mambo yako kimya kimya hata hii blog ukiweza kuwa wakwanza kufunga kwani inakuletea faida gani zaidi yakukuupset?tutakumiss sababu katika blog za watanzania hii hiko juu na fashionjunkii.
Dada sikujui na hunijui ila fata ushauri wa walocomment. Achana na wapumbavu kunawatu wanataka kuona unadead kabla hujamwona mwanao eeh kaa mbali na wabongo na roho za kwanini, afta all they want to make money out of your belly. ukiwajibiza watazidi wapotezeeeeeee washamba hayo
Teddy kambali na nyoka tena wenye sumu kali, stay away from them, wivu unawaua.
SUE them bwana allah wamezoea wajinga hawaga hadithi hawa
August 20, 2011 3:41 AM
Hiyo allah i hope umekusudia alaa otherwise kuweni waangalifu na sentesi zenu
Wabongo wanachosha sana yaani kwao wanapenda kuona wenzao wapo chini siku zote.jamani tujifunze how to mind our own business.
wala wasikupe taabu waache waseme mwisho watapata jipya la kulonga watakuacha.wakaogeeeeeeeeee kwanza harufu twasikia.
yani nimecheka!!magazeti kwa photo-editing?shida ni njaa inawasumbua sana waandishi wa habari na hao watoa komenti negative wangekua na la maana maishani wasingepata mda wa kejeli...ovyo kweli global publisher
ishi utakavyo wewe na si kama watakavyo wao--ndicho kinachonifanya adi ss nimeendelea mana ukikaa unawasikiliza mapupu hutafanya la maana
you dont need to explain your self to anyone mtu kama hakuamini hata ujielezeeje hatakuamini, unaadhani global publisher hawajui kama we ni model? wanajua wamefanya kusudi na wengi waliocomment kule (negatively)ndo hawa hawa wamecomment humu (positively), ignore small kero fanya upendavyo kila mtu atafsiri anavyotaka
Ukishajua kudharau na kupuuza utaishi na kila mtu. Just dharau, samehe, puuza. utaona maisha ni verry simple kabisa.
my dia dont say anything,after birth stay quite,then show them your baby after 5 months,then they will shut up.
Na agree na comment ya Trii, dont tell or show your baby soon, acha mtoto wako akue dada kuna watu wanaroho mbaya sana
yes,teddy mbona wanakutafuta hivyo achana nao plz sie wabongo tunajijuwa wenyewe,inabidi uzowee wasikufanye ukajifungua kabla ya muda wako,i know it hurts but anyway sometimes no need to publish everything happen in ur life haina maana kwamba usituhabarishe wapendwa wako la hasha cna mana hiyo,then kweli hilo tumbo lao walilokuweka ni la compyuta cha kwako ukweli kimetulia na kuwakata midomo kaa kimya usitangaze ukijifungua hadi mtoto akue,,ndo utoe picha love ya girl
kiutamaduni wa mtanzania iyo si sawa labda kama ulivyosema ni mambo ya kazi. ila mwanamke mjamzito kiasili hapaswai kujitangaza mpaka tumbo lijitangaze lenyewe manake hali iyo ina mambo mengi huwezi jua nani mzuri kwako au mbaya kwako kwa jamii yetu ya kitanzania ni mambo ya ajabu sana kuliachia tumbo nje kama ivo na ndo maana kila mtu alishangaa, wasamehe bure ni kosa la mila na desturi zetu, ila u look so cut mimba imakupendeza sana hongera sana, wenzio tunachakaga mpaka hutakia hata kujitazama,
ndivyo wabongo tulivyo wepesi mno kuhukumu na wavivu wa kufanya utafiti tunapelekwapelekwa na media na kuhukumu wenzetu, kwa kweli inaboa lakini cha muhimu ni kuwaignore kwani mwisho wa siku wote tutalamba udongo, so ni suala la kuinjoi life na watu wanaokupenda bila kuangalia wenye macho ya chuki na wavivu wa kufikiri. all the best wajina
my dear achana nao kabisa kwani wameaanza leo?? this moment hautakiwi kujipa stress ya aina yoyote tulia, eat well & do wateva u fil lyk doing, iwe ni kazi or jus pleasure bado haiwahusu.. have fun darling and wait 4ur lil angel's arrival. me love ya sana- mama briyanna
usingezaa pia angesema go tk wala wasikuzingue mpenzi juzi wamemsema jd kuwa tasa wabongo ovyoooooooooooooo
ucjali Teddy ushamba ndo unawasumbua wabongo..mbona tucwe kama wenzetu wa Kenya na Uganda? hawa fatiliani ki hivyo tumbo ni lako wao inawahusu nini au udaku tu....live ur life dont ishi as they want.....
Post a Comment