Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, August 28, 2011

Good News From The Carters: Beyonce Is Pregnant!


Congratulations Beyonce!

13 maoni / comments:

Anonymous said...

Teddy wapi picha za baby shower yako jamani, mbona unatupa mcheche tunafungua blog yako hau-update tu mama yangu lakini?

Anonymous said...

Tatizo akionyesha wenye magazine watasema analiuza tumbo lake tenda mana wabongo tumejaa ushamba hawawezi hata kufikiri hiyo ni baby shower, kama wewe ni shogake i will suggest akuinbox

Anonymous said...

oke jamani I love Tk I wish I couls see her pic bad you don't know me. fan wako wa Holland!

Anonymous said...

hongera sana my dya tunawait picha za baby malaika.

Anonymous said...

Tk come on bring the news to the air lol

Anonymous said...

HONGERA SANA TK, sikujui hunijui na wala sijasikia lolote.One thing i feel and i know, MUNGU AMESHAFANYA.
Dunia ilikusema na kukucheka kama alivyochekwa Hanna mke wa Elikana kwenye biblia, mwisho akahamia hekaluni, kwa maombi, machozi na kuugua.Siku ya bwana, ikawaida,akazaa mtoto wa kiume akamwita Samweli.Waliomcheka wakaaibika na waliombeza wakatahayari.HALELUJA,MUUJIZA WAKO TK UMESHATOKEA,MUNGU AMEKUPA USHUHUDA.

Anonymous said...

hongera teddy kwa kutuletea baby malaika mungu atamlinda na kumkinga na all evil

Anonymous said...

Teddy jamani we miss u here, wapi baby Malaika? Hongera na pole kwa maumivu ila sasa unafurahia matunda hongera sana sweetie.

Anonymous said...

Jamani Tk ur baby shower pics.. pliizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz :( post them .. am anxiously waitng.. aii weee ... Lol!!!

Anonymous said...

HONGERA MUNGU AKUKUZIE MWAYA.
NAJUA HUWEZI POST CHOCHOTE KWA SASA MAANA KUWA NA NEW BORN NI KAMA KUKAA KWENYE SIMU MASAA 24.I MEAN UBIZE MUMIE.

Anonymous said...

hongera sana TK.

Anonymous said...

watu wanataka kumuona babymalaika my advice wewe muweke mtoto wako out of this business please,jibu wadau waambie ur sorry hutaki kumuweka mwanao huku,lakini asanteni kwa sala zenu,. nakama unaweza funga hii blog kaa kimya kimya au fungua blog nyingine ya kumtukuza bwana,maana mambo yakitanzania na mawivu yao mungu atupishie mbali,.

Anonymous said...

Asante mdau kwa comment ila ujue si watu wote wabaya wanaovisit hii blog akifunga tutakosa some news ambazo huwa anaweka

Total Knockout Search!!

Custom Search