Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, August 10, 2011

Cynthia Masasi's Birthday Party!

Do you see what I see?... Yes, she is... :) Beautiful!!!
Pichani: Nyumbani kwa Cynthia and her soon hubby to be Richard Mziray wakisherehekea na ndugu na jamaa. 
-&more pictures...

...mambo ya label...daddy goes LV, mommy goes Gucci baibeee!:) 
Sexy ladies!!!! Aisee mlipendeza sana. Happy Birthday Mrs. Richard wa ukweli... XOXO


Source: Seif Kabelele

42 maoni / comments:

Anonymous said...

wooooooooo she is preg.hongera saaaaaaaaaana mrembo wetu

Anonymous said...

another hot preg mama

Anonymous said...

is cynthia preggo? mungu amjalie maisha marefu na afikie kuwa mrs mziray.

Anonymous said...

oooh ni nyumba ya C? hongera sana, ndio maana haters wengi mpenzi.enjoy every moment,wewe ni mwanamke wa kuigwa. hongera and b a good lady always

Anonymous said...

jamani nyumba nzuri OMG the reaaly crib lol! sasa kina nanii watashukia kwake wakienda bongo ha ha ha hongera sana cynthia na mziray. u did a good job lol! sasa kina nanii mkalaleeeeeeeeeee

Anonymous said...

beautiful woman inside beautiful house with beautiful peoples around namuona mariam kwa mbali sasa sijui watanunajeeeee wanaofikiaga kwa kina nanii jajajaajaaaaa na hongera sana cinsia u look gud na mimba

Anonymous said...

mamaaaaaa watasonyajeeeeeee hongera dadalao nyumba nzuri sana

Anonymous said...

jamani nyumba ya bhakressa mpya ile ya pale st peters imepata mpinzani
si mchezooooo
hongera sana kwa kila kitu
may god bless u always

Pam

Anonymous said...

Hey TK I dont know Cythia all I can say km ameamua kurudi na kuishi TZ inabidi ajiweke mbali sana na wadada wa mjini wengi wao wanafiki siku mambo yakimwendea hovyo wote watamkimbia

Anonymous said...

well said mdau! WADADA WA MUJINI NDIVYO WALIVYO

Anonymous said...

WOW!! Cynthia masasi umependeza sana mamii. Dar kunakupenda. Karibu sana.

Tunapenda sana wadada kama nyie mnaojiendeleza maisha yenu kiustarabu. Big up mamiii. We love you!

Anna said...

U r so pretty Cynthia.I wish you were my sister
I'm loving the dress and the hair!!! Gorgeous!!!!!!!!

Anonymous said...

wow,thats all i can start with,im happy for this chick,na Mungu aendelee kumuongoza maana kuna watu wanaona wenzao au wengine hawastahili kuwa mama au kuishi maisha mazuri kuzidi wao,mark my words soon mtaanza sikia new beef ,but my advice ladied keep te head high and move on,kuna watu wamealiwa kwa ajili ya kuwakosesha raha wenzao wasameheni bure.

Anonymous said...

safi sanaaaaa

Anonymous said...

hongera sana,dont hate,congratulate basii hahahah

Anonymous said...

kidos to mzirayi`s

Anonymous said...

happy for you Cynthia,we knew u snce then sio wa kuibukia n i loke the way u stick to ur friends hamtupani miaka nenda miaka rudi

Anonymous said...

for so may reasons im happy and praise the Lord for this girl

Anonymous said...

hayawi hayawi mbona yamekua.Mungu kweli si ATHUMANI

Anonymous said...

hongereni the 2 of u

Anonymous said...

nna furaha kama namjua ile.safi sanaaa

Anonymous said...

hongear C na mchumba ake.Mungu awajalie kila kheri na azidi kuwaandalia meza mbele ya watesi

Anonymous said...

safi sana mwanawane

Anonymous said...

ndo maana yake nani kasema eti maisha ni picha

Anonymous said...

na wewe TK usibanie koment,usiwe mwoga mbona wao kutwa kuwadhalilisha.wao ni kina nani?

Anonymous said...

hehehheheheeeeeeeeeeeeeeee kweli kutangulia si kufika sasa wataanza na jipya just to take u guys down

Anonymous said...

naaaaaaaaaaaaaam,kimya kimya ndo mwendo,haya ndo mambo

Anonymous said...

wow,what a house?kama naota vile.hongereni wapenzi,watachonga sana iwe ya kwenu ya kupanga but u r living the life most of us just dreaming

Anonymous said...

kula 20 Cynthia za mikono na miguu kabissa.na kinywaji gani watumia weye?raise up that glass for me.im happy kama vile wewe ni dada yangu

Anonymous said...

mwakemwake kinoma.hongera C

Anonymous said...

hayo ndo mabo bwana,i like chicks like u,check kila kit class hapo.nimesonyaaaaa kama mnigeria

Anonymous said...

jamani teddy huyo cinthia napenda life style yake.vp kuhusu nywele zake nitazipata wapi? naona kimya mpaka leo

Anonymous said...

cynthia mtoto wa ukweli nimependa sana nyumba yake ina mpangilio mzuri hasa hadi unatamani kuangalia tena na tena sio kila siku kwenye korido tu, Mungu azidi kukujalia upate mafanikio makubwa saaana! ingawa simjui huyu mdada zaidi ya kumuoana kwenye blogs namuona ni mtu poa sana. na wanao kuombea mabaya bila sababu yawarudie mara sabini.

Anonymous said...

cynthia mtoto wa ukweli nimependa sana nyumba yake ina mpangilio mzuri hasa hadi unatamani kuangalia tena na tena sio kila siku kwenye korido tu, Mungu azidi kukujalia upate mafanikio makubwa saaana! ingawa simjui huyu mdada zaidi ya kumuona kwenye blogs namuona ni mtu poa sana. na wanao kuombea mabaya bila sababu yawarudie mara sabini.

Anonymous said...

Nimesonyajeeeeeeeee, Be blessed Komandoo mwaya

Anonymous said...

this was the ''she'' they were blowing their trumpets about? Shyt! i didn kno nuttin about the girl but i lyk her already. watajibebajeeeeee. wakitema wakimeza na shauri yao.

Mariam said...

Wow!! Nice house Cynthia

Teddy Kalonga aka "TK" said...

PLEASE DOLLS, I RESPECT YOUR COMMENTS BUT LET'S JUST GIVE HER GODLY COMPLIMENTS.

COMMENTS ZA KUSEMA MSONYO OR WATAJIBEBA HAZI'FIT ON MY BLOG...BINAFSI ZINANIKWAZA...ZINANIHARIBIA UHUSIANO WANGU NA MUNGU. I HOPE YOU UNDERSTAND WHAT I MEAN.

THANK YOU!

TK

Anonymous said...

Cynthia & TK God bless you and the two beautiful gifts He has given you. Many many congrats. I love you both so much and I tell you God love s you too. x

Anonymous said...

Cynthia Mungu anakupenda sana na atakua pamoja nawe mpaka` mwisho. Endelea kumuomba na kumuamini na hao maadui zako pia waombee sana. Your in my prayers. Love u

Anonymous said...

Cynthia and TK love you sana na mko katika sala zangu sana. Mungu awabariki

Anonymous said...

wewe msichana naupenda sana hivi unavyosema hutaki matusi humu ni kweli kabisa endelea hivi hivi maana unaonyesha mfano mzuri kuliko wale wenye mablog yakugombanisha,huko juu,fashionjukii juu na nuru the right juu mungu awazidishie,amen

Total Knockout Search!!

Custom Search