Katika jamii tunayoishi, kuna watu na viatu(haters), watu ambao kutokana na maisha yao binafsi inawawia ngumu kukubari matokeo ya maisha ya wengine.
Hivyo basi upelekea kuweka hasira juu ya mtu mwengine, nikiimanisha kuzungumza chochote kibaya kwa lengo la kumuhangamiza huyo mtu kwa namna mmoja ama nyingine.
Well,"Sina chuki na mtu, ninazungumza kwa roho safi"... ninachotaka kusema ni kwamba, masemango niliyopitia kupitia mtandaoni hayana ukweli wowote juu ya maisha yangu halisi. Nimeamua kuzungumzia hili kutokana na maswali ya kijinga ninayoulizwa kila kukicha, yanayohusiana na yale waliyozungumzwa mtandaoni. ''Ooh kumbe unaweza kushika mimba!?,..Huh!?!... ooh wanasema umefulia mbona nimekuona kwenye TV hapa Marekani!?...Ooh wanasema hivi mbona vile!?... Sasa jamani... maswali kama haya mimi mnataka niyajibuje????????? Kiukweli YANANIUDHI. Yananiharibia mood.
So please! Please! Don't ask me.
Hayo yaliyozungumzwa hayanihusuuuuu!!! Hayahusiani na maisha yangu ya kiukweli!
Pia:
1. "Nimeamua kumweka Mungu mbele (kumkabidhi Mungu maisha yangu) kwasababu nimeona ANANIPENDA...na si vinginevyo... Nimebarikiwa kitambo, tokea nipo mdogo nimelelewa katika maisha ya kikristo pamoja na kwamba sikuyapa kipa umbele kama Mungu anavyotaka.
2. Namshukuru Mungu kwa yote niliyopitia, mabaya, mazuri. Yote heri! Na namuomba azidi nipa mwongozo mzuri wa kufanya yale yanayompendeza yeye tu peke yake.
Mungu na ashukuriwe!!! Jumapili njema.
32 maoni / comments:
ni kweli ume2mia busara mwaya,mungu akuzidishie na ujifungue salama kwani sasa umejiandaa kuwa mama mwema luv a msg.
Ubarikiwe mamii, Mtangulize Mungu katika kila jambo na YEYE HATAKUAIBISHA. Remember, Everything work out for good to those who Trust HIM!
Mwanadamu anaweza kukukebehi, kukudharau kwa kuwa huna kitu na kukuona less than themselves while they're human beings too but, God Will never Leave you nor Forsake you, as long as you go back to Him, you Good!, Trust in Him and He Will Give you desires of your heart!, GOD BLESS YOU!
Peace!
I'm sure you have heard of this before "Watu wengine are unhappy" because of that they try to put somelse down. Do not allow other people bring your sprirts down.
tatizo watu wanasikia ya mitandaoni, walisema tasa haya sasa wameumbuka baby Malaika huyo anakuja.
Mh I can imagine maswali kama hayo yanavyoboa. Pole Teddy. I hope ujumbe umefika.
tell 'em my TK...inashanga pipo wanapenda kuzungumza ya watu yakwao yanawashinda..fuckery..najua unafil aje about maswali ya ajabu..mxxxxxxxiii give 'em mido finga...HATERZ mtaisoma kimya kimya...
Just ignore them and praise the lord!!!!! I love your taarifa to them
M happy for u... Umechukua uamuzi mzuri na wa busara sana... GOD IS EVERYTHING... Mtangulize yeye, na kila kitu utaona kinaenda km jinsi unavyomuomba yeye akupe. Usisikilize maneno ya watu na wala yasikukwaze...waombee tu kwa Mungu ili bwana Yesu awafungue ufahamu wao mapema kabla hawajaiacha dunia hii.. All the best mamii... Mungu hatokuacha as long as wewe umeamua kutomuacha. I love u...
Jackie...
Pole mama ndio dunia na wanadamu kikubwa wewe mtumaini Mungu akupe amani na burudiko la kweli ambalo hakuna binadamu yeyote anaweza kukupa we love you TK...eti wanasema emefanyajeee?? umefulia?? kwa taarifa tu mimi na familia yangu tunatumia kama dola 700 za mylotion kwa mwezi...keep it up baby,,,mimi napenda wewe na Mylotion yako siachi kuitumia mwaya maana mmh...
TK Hao wanaocomment msg za namna hiyo waache tabia hiyo, hao ndo wanaendeleza maneno maneno. Watu comment yanayolingana na picha iliyopo. Kama TK kaweka picha yake na mumewe and she is pregnant kwa nini ucomment maneno ya kihivyo?? Sijui walisema hazai sijui kimetoka hapa kimeingilia hapa, huo ni umbea. Kwani ukicomment, "Mmependeza na Mungu Awabariki ikaishia hapo utakuwa umepungukiwa na nini?.
You know TK people are confused from what they have been told and what they See. I think it is not humble to ask you those kind of questions for sure. Especially the fact that you were been attacked and not your bio or something. And when people attack others they can say any bad things to make you look bad, it's like a war...and that is including lies and all. But then when the truth comes out people ofcoz will start asking questions. So just take it easy TK don't let those questions put you in a bad mood. May God bless you! And keep praying. Ok?
Joyce from Canada
The bible says, Makwazo hayana budi kuja ila ole wao wasababishao makwazo. luv u TK. Mungu akutie nguvu
You inspire me TK! I saw you on the show "HOW DO I LOOK''. OMG I screamed! :)))) my roommate thought I went crazy! ahaha
You make me proud to be Tanzanian!
I luv u Teddy!
Pole sana mpenzi...yani huu ujumbe wako umenichoma sana moyoni...Mungu aendelee kukubariki...hakuna aliyemtumaini akapata haya.
TK hao wanaokuuliza maswali kama hayo ni wanafki. kwani nani asiyekufahamu wewe tokea kwenye TV bongo mpaka hapa marekani kazi zako tunazifahamu. Inaonekana wazi wanatumiwa na shetani kukuvurugia siku tuu dada yangu. Nawe usiwape nafasi,, . na ni kweli wewe ni mfano mzuri wa kuigwa. Mimi nimefurahi sana ulipookoka. Na kwa taarifa yao bwana YESU atakung'arisha zaidi mpaka watazidi kushangaa wenyewe, huyo ni mwanzo tu. hayo maswali yao watajiuliza na kupata jibu YESU ndie mkuu kuliko wote.
Bwana YESU asifiwe sana.
Wamtumainio Bwana ni kama Mlima Sayuni, hawatatikisika Milele,wewe una Mungu TK, mwanadamu hata aseme nini kila kitu kitabadirika kua Baraka, God is good, all the Time, ur msg has inspired me, luv u mamito
umechagua chaguo jema dia. Mungu akubariki sana. soma zaburi ya 34, 91 na roho wa mungu akuongeze katika njia zako zote na akubariki siku zote za maisha yako. maneno siyo mzuri maana biblia inatuambia utabarikiwa na kulaaniwa kwa ulimi. mfunike kwa damu ya yesu mtoto na mumeo na wewe mwenyewe na kila ulimi utakao inuka juu yako utahesabiwa mkosa.
ujumbe mzuri
Rose Muhando and Anastazia Mukabwa, sang "Kiatu kivue" . Great song for those wanaokaa na chuki kwenye roho zao. Its not too late kuokoka and there is nothing wrong about it.Mweke mungu mbele siku zote, yeye ndio alpha na omega. God bless you Teddy.
you are a very wise woman TK; this just puts a seal that you're gonna make a great mum...may God transfer this wisdom to ur baby! God bless you!
pole mama dunia si mbaya wanadamu ni wabaya ila wewe ni mkristo endelea kuwapenda na kuwaombea wabadilike pia waombee maisha marefu ili waone mafanikio yako mi nakupenda frank speaking n u knw wat unazidi kuwa mzuri koz unampenda Mungu uso wako uko na nuru ya bwana endelea hivyo hivyo ishi maisha ya kimpendeza Mungu
Tk kwa hali yako sasa hivi plz usipatwe na hasira i know how much inabore mtu anasema uongo kama yeye anakujuwa deep inside,but try to ignore them wao wakikuchukia tupo tunaokupenda na kukuombea mema,my advice to u do ur things girl u have all the reason watu kukuchulia anyway mi nafikiri UZURI wako unakuponza ungekuwa huna mvuto Dear nani angepoteza muda kukufwatilia,love ya thought u dont know,,,,,flora
Mara nyingi mtu anakupa taarifa fulani au atasema maneno fulani ili akuumize na aone utachukua hatua gani. Ndio maisha hayakwepeki lakini usiyape nafasi, sio wote wakutakiao mema ila kuna wachache wakuombeao mema na Mungu anawasikia. Kila la heri mdogo wangu.
Mungu akubariki sana Teddy, na kukulinda na watu wabaya, watashindwa kwa jina la Yesu, nakuombea sana Teddy, ujifungue salama na uwe mama mwema pia. usijali sana wasemayo hayo ni maneno ya wakosaji. We sali sana Mungu yu pamoja nawe siku zote za maisha yako.
You are blessed beyond the curse dear..If God says YES,nobody can say NO..continue holding your faith to Jesus as your Lord and Saviour in your life.
Bless you always...your child,hubby and your carrier.
Xoxo!!
Wanakuonea wivu, wachovu tu hao ... usiwasikilize wapumbavu wa mawazo kazi yao kuchunguza maisha ya watu... achana nao Teddy, wanataka mfanane kimaisha hawakuwezi na hawatajua undani wako.... ni mashetani tu hao.... Wakuombeapo mabaya Mungu hukuzidishia mema na wao hujikita ktk mikosi....Na ukijaribu kuchunguza robo tatu ya familia zao huwa wana laana tokana na midomo yao mipana... message sent by WA Ukw'e'e'e'e
You are strong woman and keep on that.
God is faithful,He will guide your path!!!
Dont listen to the lies.....Shetani ni baba wa uwongo asikusumbue
beautiful inside out, Mungu azidi kukubariki.
Teddy najua hunijui ila nakujua kwa kukuona bingo enzi zileee. huwa na soma blog yako once in a while and I like watu wanaotoa comment kwenye blog yako mana inaonyesha hawana chuki binasfi na si wakulima kama wale wanaotoa comment kwa wakulima wengine wanaoblogua. nataka tu kukuambia mtu akikupiga kofi kwenye shavu la kulia mpe la kushoto, mwisho wa yote wataumbuka wenyewe. we are all human being how dare could someone ask you eti unaweza kuzaa wao wana watoto wangapi. achana na hao manyumbu yasiokua na akili umbea kila kukicha, ishi maisha yako na mumeo and dont ever stress out kuhusu wajinga. hapa duniani hata uwe mzuri ka malaika watakusema tuu, ukinyamaza ndo wanakoma. dont attack them back do what you think is right for you and your family.
take a very good care of yourself and keep that baby safe & health
An
ANONY WA KWANZA UMESEMA KWELI KABISA
TK darling u r such a lady achana na waosha vinywa wala usijibizane nao coz waswahili wanasema ukibishana na mjinga nawe utakuwa mjinga na wahenga wanasema 'mwisho wa ubaya ni aibu'
usijipe stress lea ujauzito wako na Mungu wetu ni mwema atakupigania
love you much
st..(mama Gabby)
Teddy,Pole sana..Ila siku zote Mungu ni mshindi.Ukimtegemea yeye, kamwe hutashindwa..I feel u,coz i went through a lot,i can say my story looks same as urz..But trust me, once u bring ur daughter Malaika in this world,u gonna experience a big change in ur life..Babies bring JOY in our hearts..Ukiona watu wanakusimanga,jua kwamba hao hawakutakii mema.Lakini hata wakuseme vipi, na wakudharau kiasi gani.U have ur daughter who LOVE u more than u know,and she will always be there for u..I love u TK, u inspire me a lot,n am praying for u to bring baby Malaika safe in this world,n u gonna make a HAPPY family of three of u.(Malaika,Teddy n Cody =THE COTEIKA)God bless u always.
Post a Comment