Tokea wingi wa blogs kushamili katika jamii yetu, tumeweza kuona watu kutoka matabaka mbali mbali, waliolelewa katika mazingira tofauti wakitumia blogs kama sehemu ya kushusha uzito wao (kilicho moyoni). Kuna wanaopenda fashion na urembo, kuna wanaopenda kuzungumzia maisha ya watu, kuna watoa habari, kuna watoaji kasoro za binadamu wengine, kuna wanaopenda kuzungumzia yao, kuna wanaopenda kufurahia ushindi wa mafanikio ya watafutaji kama totally knockout!! n.k.
But all and all what exactly do we want to accomplish?...If you want a change: "Be the change you want to see in the world.”- Mahatma Gandhi
Anyways, today Total Knockout blog has few topics that just from exchanging ideas might help most of us to learn a lil' bit' of what we didn't know before. Now you pick which topic that should go first, then kwa pamoja tunaichambua!
1. Waislam na Wakristo Sisi Sote ni Watoto wa Baba mmoja, Tofauti ni hii hapa tu...(....?.....)2. Mwanamke hata ukiwa mzuri vipi na ukawa na mali za thamani, kama una tabia chafu- hautofautiani sana na kinyesi kilichofunikwa chocolate!
3. How to have the perfect husband/wife you have always wanted. (Women we have the power to create our own dream partner.)
4. Kumcha Mungu kwasaidia kuongeza mapenzi katika ndoa. (Nina mfano wa kuelezea kivipi.)
5. You can't be too Good of a person and too Bad person at the same time. (Deep down your soul, you are only one kind of a person)
6. Haijalishi how great of a person you are, bila Mungu ndani yako, you are empty (dead meat).
7. You are not alone.
8. Waweza Kujifunza kuwa mtu unayefaa katika jamii (bila kuumiza watu).
9. Nipe nikupe
10. Faida utakazo zipata kama ukisamehe.
6 maoni / comments:
Me niiingependa kuchagua no 4 teddy
naomba tuanze na ya kwanzaaa plz plz plz.. the tuje ndoa ukimcha mungu....
TK let us discuss No. 4 and No. 6 hata kusamehe pia ni nzuri. Ila ile No. 1 kama naiogopa vile (sijui lakini hii ni kwa upeo wangu tu)
i would love to know more about the first topic... muslims/christians issues especially when it comes to relationships and friendships
hey baby mi naona tuanze na no 2 and then no 4 plse
Me naenda na hii ya you are not alone.Ila hakuna shida wewe anza tu na yoyote tutajipanga kuchangia.
Yusuph Mzimba
Post a Comment