Tupo Sinza-Kumekucha Kituoni. Mnakaribishwa wote.Tuna mahitaji yako yote ya urembo na kama hatuna tunachukua SPECIAL ORDER!!Tuna bidhaa za Victoria's Secret,Mary Kay, Avon,Perfumes na Colognes za aina mbalimbali na mengineyo mengi na vilevile kuna sehemu ya Resale.
Muda wa duka kuwa wazi 8am-8pm-Jumatatu hadi Jumamosi. Simu 0713-468393/0753-482909.
Mwambie rafiki yako / jirani yako. Karibuni nyote!!!!
Muda wa duka kuwa wazi 8am-8pm-Jumatatu hadi Jumamosi. Simu 0713-468393/0753-482909.
Mwambie rafiki yako / jirani yako. Karibuni nyote!!!!

1 maoni / comments:
Hi TK thanks for the info......!!! Albert tumekusoma utatuona kipande hicho and keep it up kutupendezesha wadada/mama wa Bongo na usiache kututembezea maofisini kama kawaida maana wengine hatuna time ya kupita madukani. TK ungempa uagent wa "MYLOTION" huyu AK au vipi maana angekuuzia kwa hakika maana yeye mwenyewe mchakarikaji
Post a Comment