Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, June 10, 2011

"Mwanamke Mpumbavu, Uvunja Ndoa Yake Kwa Mikono Yake Mwenyewe"...Huu msemo una maanisha nini?...

This is kinda of hard thing to say, but well...it's from the Holy Bible. 
While driving this morning I was listening to Ryan Seacrest's Radio program  that's happened to catch my attention. 


-Kulikuwa na dada mmoja on the line, amepiga simu ili kuweza kupata ushauri akilalamika kuwa hamuelewi mume wake ambaye wamezaa nae mtoto wa miaka 6 na kuwa pamoja kwa kipindi cha miaka 10.


Akadai kuwa sasa hivi ndoa yao haieleweki, wanaishi kama strangers. Na kuongeza kuwa ameifuma msg ya mume wake facebook akiwasiliana na Ex-girlfriend wake wa miaka 10 iliyopita akimuuliza kama wanaweza kuonana nae, na huyo ex- kujibu "sure!". lol...
Pia akidai kuwa amekuwa aki'notice hii hali kwa kipindi kirefu kwamba kila wakigombana mume wake huwa anakimbilia kwa ex-wake.    


Basi wakapanga na mtangazaji wa kipindi hicho cha radio Ryan Seacrest, wamweke mumewe hewani kusikia anasemaje kuhusu hili. Mume aitwa: Bryan. Mke: Katie, na Ex-girlfriend: Debbie
Mtangazaji: "Calling Bryan, akijifanya ni muuza mauwa"... Phone rings... griiiiiiiiiig griiiiiiig...
Bryan: Hallo!
Mtangazaji: Hallo!... this is flower delivery store near by, we are calling to give out free flowers for our special promotion. Would you like us to deliver them to someone special?... 
Bryan: No..thanks! 


Mtangazaji: It's free flower, free delivery, we won't charge you any money or asking for credit cards information. It's totally free, we are just trying to promote our store near by. 
Bryan: You guys, saying it's for free but then you go end-up asking for money to the person you sent flowers to...


Mtangazaji: It's for free Bryan, we promise you. All we need is the name of the person you wanna send them to and the msg to go with it... (HAPO BRYAN YUKO ON AIR, HAJUI KAMA MKE, NA WATU WOTE WANAMSIKLIZA) 


Bryan: Okay...
Mtangazaji: Who would you like us to deliver the flowers to...? What's her name and what's the msg would you like to say to her?...
Bryan: I would like you to send them to my friend Debbie (ex-girlfriend wake), and the msg, "I think God has brought us back together for a reason".  
Uwiiii!!!... Katie akashindwa kuvumilia... Replied, Are you serious Bryan?... don't you feel ashamed for yourself, don't you dare put God in this?... You have a wife and a 6yr old child, and you wanna send flowers to your ex-?... 
Mtangazaji: Bryan, you are on air live and on the line we have your wife Katie.  Why would you wanna send flowers to your ex- while you have a wife of a 10yrs?... 


Bryan: Well, our marriage hasen't been good lately. I don't love her anymore. Uwiiiiiiiiiii!!!
Mtangazaji: What?...why are you saying you don't love your wife anymore?... 
Bryan: Our relationship has been going up and down and she doesn't seem to care anymore... She knows I'm not happy,.. one day she told me that I should call Debie(his ex-) and ask her if she wants to go out because my wife didn't feel like it. She knew this was coming!
Mtangazaji: So what happened when you went out with Debbie?... 
Bryan: Well, nothing happened. I just feel like she is there for me and I now feel connected to her.
Katie(wife): Are you serious?... Are you serious?...You never told me you don't love me. We are married, and we have a 6yr old together.
Bryan: Well, you saw this was coming...and you couldn't fix it. You made this happen, I married you because I loved you but you didn't play your part well and asking help from another woman, I didn't choose her to be my wife in the first place. Uwiiiiiiiiiiiiiiiii!
..............................................................................


What do you say about this mdau?... hii imekaaje?... Do you think mwanaume kufikia uwamuzi wa ku'cheat ni kwasababu ya udhaifu wao (tamaa) au ni kosa la mwanamke anaposahau majukumu yake kama mke ndani ya nyumba?... 


Je?... inapotokea ni nani wa kumlaumu, mwanamke au mwanaume?... 
Maoni please!



12 maoni / comments:

Pilly Julius said...

aaahaa ya leo kali....mamito kayataka mwenyeweeeee yeye alivyoona msg kwa fb angeangalia kuna tatizo gan kwa upande wake ikibid angekaa chin na mumewe labda angejuwa tatizo kabla hata ya kujianika kwenye radio, solution ingepatikana sasa ndo kaaribu kabisa yan roho inamuuma simpatii picture......

Anonymous said...

mwana mke ndio wakulaumiwa maana amesaau msemo usemao kubali tuyamalize alafu alikuwa anajuwa ukweli wa mambo tokea awli alipo ifuma msg kutoka kwenye facebook kajishebedua kumweka kwenye radio mwanaume alisi akubali kushindwa kwaiyo kachukulia limeisha kuwa naliwe apo ndio usemi unatimilika wa mwanamke mpumbavu,mwana mke asipo kuwa na heshima,upendo,uvumilivu,kusamehe,basi uyo ni mpumbavu wa ndoa.(tunata abari nyingine zaidi kama izi asante TK.

Anonymous said...

huo usemi unasema kweli kan´bisa unajua kuna wakati mwanamke anavunja ndoa kwa mikona yake mwenyewe kuna wakati mtu anafanya kitu kwa maisha yake akiwa na ndoa na mume akionekana kuwa nae pamoja but in reality huwa wanaume Mungu kawapa akili ya ziada sana ambayo huwa wakionekana kuwa wajinga mwanzo kumbe kuna vile wanafikiri then later ndo mambo kama hayo hujitokeza hata katika kuwa na blog wanawake wegni hufanya vitu bila kuja itatukia nini but later huja mambo kama hayo keep your blog fresh as usual mamii this is part of your life

Anonymous said...

muonekano wangu ni kwamba wote wanamakosa ndoa haiendi vizuri walikuwa wanatakiwa kuirekebisha WOTE au kila mtu aende njia yake, but kama kawaida MEN wanapenda kuchagua njia iliokuwa rahisi(kucheat) na kulaumu WANAMAKE....

Anonymous said...

kwel kabisa mwanamke an makosa kashslikoroga na alinywe ss

Anonymous said...

kwel kabisa mwanamke ana makosa kasha likoroga na alinywe ss

Anonymous said...

jaman inasikitsha sumtymz mwanaume hata umpe nin haridhiki jaman.

Anonymous said...

mwanamke hana makosa, alichokisema ndicho alichokiona. wote wawili wana makosa coz waliweza kukaa chini na kujua nn chanzo na jinsi ya kusolve. mind u gals, kuna wanaume hawaridhiki hata um bebe kumpeleka bafuni na kumlisha kama kinda la ndege. we just have to be careful and ready for anythn at anytime, tumbe busara tu kwa mungu. ni hayo tu

Anonymous said...

We cant blame women for that, unajua mapenzi is two way traffic, mie sidhani kama huyo dada aliamua kutokumjali mumewe from blue no no no....nakataa coz najua wanawake huwa tunajua kupenda kama tukiamua kupenda, tunajitoaaga kupitiliza jamani ila tatizo linakuja kwa huyo unayejitoa, mpenda anakuwa ha-appreciate!sasa kila unachokifanya waapi kama ni tabia unamwomba plz dont do this for me lkn wapi!akiamua kutoka kabisa like this guy huwezi kumlaumu mwanamke!what if na huyo dada angeamua kutafuta wa pembeni?what i learn here wanaume are selfcentered! kukitokea tatizo wanajiangalia wao tu!Never blame a woman even yeye ni mwanadamu kama alivyo mwanaume!

Anonymous said...

wote wa2 wanamakosa. kama kulikuwa kunatatizo wangekaa chini wakamalizatofauti zao lack of communication bwana au bibi kakosea weka mada mezani jadili, hata kama bwana hakuridhishi mwambie. na ieleweke kuwa ndoa ili idumu haina fomula kuna wasiojua hata kupika chai kufua wala chochote na wapo wanapeta na wengine wanafanya kila kitu na kumridhia mwanamme kwa kila kitu lkn ndio wanalia na mito kitandani. Haya mambo ni kumtanguliza mungu mbele.

My New Life said...

Jamani hapo mi naona wote wana makosa, na kosa lao kubwa ni LACK OF COMMUNICATION!!! Mbona mwanaume alipoona mkewe anateleza hakumuita wakae waongee? Jamani tukumbuke hata mwanamke ni binadamu kuteleza imo. Ingekuwa mwanamke haelekezeki basi ingekuwa ndio kosa lake.

Anonymous said...

Wanaume wakishaona majukumu yamekuwa mengi wanaaanza kutafuta visababu huyo mwanaume hana akili watoto sita ana cheat........naoana anataka short kati kwani mke lazima atakuwa busy family ni kubwa tofauti na walipoanza mapenzi

Total Knockout Search!!

Custom Search