MO BLOG : Nani Role Model wako..?? na kwa nini..??
FM : My role model is Iman, kwa sababu yeye kama black woman anajua what it takes kufika pale alipofika. She inspires me kwa vitu vingi sana. Na kwa upande wa wanaume ni Russel Simmons kwa sababu for the heart anayo kusaidia jamii, anasaidia sana watu, unajua kuna watu wengine wanakuwa na nafasi ya kusaidia watu lakini hawasaidii lakini yeye akikuona una-potential anakusaidia, hata ukiangalia amewasaidia sana kina Jay-Z, Cool J na watu kama hao."
"Kwa upande wa Tanzania kiukweli kuna Mwamvita Makamba na Mohammed Dewji."
MO BLOG : Nini mipango yako ya baadae..?
FM : "Mipango yangu ya baadae ni kuendelea na kuimarika zaidi kwa sababu ndio ninaanza kwani hata ukienda Marekani wananiweka katika kundi la New Faces kwa sababu ndio nimeanza fani tofauti na akina Millen Magesse they have been in the industry for 8 -9 years, kwa hiyo mimi ndio naanza nina mipango mingi mingi but I don’t wanna promise anything lakini somepeople might think kwamba I am successful hata hivyo namshukuru Mungu kwa hapa nilipofika lakini mimi kama mimi naona bado nina safari ndefu.""Kwa upande wa Tanzania kiukweli kuna Mwamvita Makamba na Mohammed Dewji."
MO BLOG : Nini mipango yako ya baadae..?
Source: MO Blog

2 maoni / comments:
Flavvy ni mmoja wa wadada wa kibongo ninaowapenda!wakwanza wewe tk sophia byanaku mwavita makamba nancy sumari shamim zeze na dina marios love you girls.TUNAKUOMBEA MUNGU AKUTIMIZE MALENGO YAKO NA AKUPE MAFANIKIO FLAVVY
mtoto anabahati huyo duuh kapata vogue kutoka kwa rafiki zake!hongera bidada
Post a Comment