It's MyLotion!!! How cool!?!.... It's a nice homemade moisturizer body lotion, safe to use, it does make your skin soft and smooth. You should try it! Get one for summer! XOXOXO
samahani tk naomba nikuulize hivi na wewe unatumia hiyo my lotion ndio maana una rangi na ngozi nzuri au unatumia aveeno km ulivyoandika miezi kadhaa hapo nyuma?sababu nataka ninunue na je ni za harufu ya aina gani mama farees wa canada
Nimacha kutumia aveeno miaka miwili iliyopita. pregnant women aren't suppose to use even a sunscreen lotion yenye higher SPF. So no for pregnant ladies. What I am showing here is the lotion itself. And how amazing work can do, sio kama mkorogo. Coz mkorogo unaharibu ngozi, ukiacha kutumia ngozi yako hairudi kama zamani tofauti kabisa na MyLotion. Coz yenyewe nimeacha kutumia couple month ago ila ngozi yangu bado iko nzuri na inang'aa.
8 maoni / comments:
kama ni safe mbona wewe kipindi hiki cha ujauzito umeacha kuitumia? maana umerudi rangi yako ya zamani....
Pls tk watu wa tz tunapataje hiyo my lotion? Seems unaavoid hili swali kila mara tukiuliza...
samahani tk naomba nikuulize hivi na wewe unatumia hiyo my lotion ndio maana una rangi na ngozi nzuri au unatumia aveeno km ulivyoandika miezi kadhaa hapo nyuma?sababu nataka ninunue na je ni za harufu ya aina gani mama farees wa canada
is it safe when U are pregnant? I mean My Lotion...maana sasa hv hupakai...najua utaiweka kapuni hii comment
kama unaona haiko safe dont buy it!tk plse nijibu basi nataka nunua mie si matani.scent fragrance plse
Nimacha kutumia aveeno miaka miwili iliyopita.
pregnant women aren't suppose to use even a sunscreen lotion yenye higher SPF. So no for pregnant ladies. What I am showing here is the lotion itself. And how amazing work can do, sio kama mkorogo. Coz mkorogo unaharibu ngozi, ukiacha kutumia ngozi yako hairudi kama zamani tofauti kabisa na MyLotion. Coz yenyewe nimeacha kutumia couple month ago ila ngozi yangu bado iko nzuri na inang'aa.
Karibu kujaribu kama hauko pregnant.
XOXO
thanks baby!sijaufikiria km ni mkorogo samahani km hukunielewa dear canada
Wala sija'mind kipenzi!
XOXO
Post a Comment