On Friday Herry Nasser was celebrating big day with his beautiful loved ones. Pichani Herry's Birthday Dinner at Alcove Restaurant Sea Cliff Hotel Dar-es-Salaam. Happy Belated Birthday! Mungu awe nawe!
10
maoni / comments:
Anonymous
said...
mmmmh birthday boy mbona km soga!!!!!!!ananitia mashaka kidogo.
TK I love u so much lakini leo umenikera mpenzi, unasema Herry celebrate bday with his love one, WHO? jamani mkumbukeni mungu haya mambo sio ya kushadidia hii ni laana inayokemewa! Good day mamy
What do you guys mean?... That is NOT nice of you to say that. (Loved ones- ni marafiki zake awapendae!) What's wrong with that?!.... Simfahamu sana Herry zaidi ya kuwa na urafiki nae Facebook na naamini ni kijana mzuri that's it!, so who ever he is, ni yeye! Wewe ni nani hata kuthubutu kumtema mate?!
Bwana Yesu alikuja duniani kuwakomboa watu wote! Akimaanisha yeyote amtafutaye anakaribishwa. Na mimi ni nani hata nimjaji mtoto wa watu?
Nilipofika hapa US nimeweza kujifunza mengi juu ya watu wanaopenda jinsi moja, kiukweli ni ngumu kuelewa tena tena kama umekuwa ktk ulimwengu unaowatenga watu hawa. Unawezaje kumfafanua mtu aliyezaliwa gay ambaye kamwe hajawahi kufanya ngono kabisaa na binafsi anachukia kuwa gay?!... Unaweza kumfafanua vipi mtu kama huyo?... I think people don't choose to be born gay. I have seen little kids who don't even know what sex is but you can totally tell, they are little gays.
Kumtema mate gay haina utofauti mkubwa na yule binti aliyekuwa akipigwa mawe kwa kosa la kujiuza, bwana Yesu akastopisha zoezi hilo na kuuliza... Je, ni nani kati yenu hapa ambaye ni mtakatifu hakutenda dhambi?, Kama yupo basi na alushe jiwe. Hakuna aliyefanya hivyo, coz hakuna aliyesahihi.
So sidhani kama mimi kama nimekosea kumuonyesha upendo kijana Herry. Tuzidi kumuomba Mungu, aweze kutufunua zaidi kwa hili.
sina kawaida ya ku comment humu,ila tk umeongea point.wote tupo duniani na hakuna aliekuwa msafi,kama mwenzako ni gay unamuona moja kwa moja ni wa motoni.jee wewe mwenyewe huna dhambi?mungu ndie mwenye kuhukumu,binaadamu tusihukumiane,anaweza kuwa gay ila akawa na mazuri yake yoyote yale.binaadamu tusinyoosheane vidole
Daah umezungumza kweli Hakika hakuna binadamu aliyekamilika. Alafu ukiangalia sisi wote ni watoto wa mungu. Mungu ndio muumba hakuna sababu ya kumyooshea kidole mtu asiye na hatia.
Herry wewe na marafiki zako mmependeza kwa kweli!!!
Huwa si comment huku but leo imenigusa sana kwakweli. Watu wamezidi kunyanyapaa gays na kwa upande wangu sidhani kuwa inajenga kwa kumtemea mate...Teddy I agree with u kabisaa..Binafsi namjua Herry na nikija mzuri mwenye upendo.
hebu turudi nyuma kidogo tuangalie kwanini Mungu aliiteketeza sodoma kwa moto.Am nt saying that tk amekosea kumtakia herry happy birthday. Ni hayo tu wapenzi, Mungu awabariki
Yes TK there is nothing wrong with you wishing him a happy birthday..hata akiwa rafiki yako there is nothing wrong with that.Simjui huyo kaka, ila one thing i know kama mtu alivyosema hapa juu one of the things which made Mungu aangamize sodoma na gomorah ni sababu ya homosexuality (The book of Genesis)..hili halina ubishi. Kama Mungu anavyochukizwa na kuua, kuiba, uasherati e.t.c halikadhalika Mungu anachukizwa pia na homosexuality the bible says it all. So kusema Mungu anachukizwa na hilo sitakuwa namjudge huyu mtu but am simply saying that God is not in support of this. The only thing we need to do as the people of God is to reach them out with love,let them know the truth of God and pray for them. Hata Yesu alivyomtetea Mariam Magdalena kwa wale waliotaka kumtupia mawe, hakumruhusu aende kuendelea kutenda dhambi, bali alimbadilisha awe mtu ambaye anaishi njia zinazompendeza Mungu. So hata sisi even though we ought to show love to them, at the end of the day we have to let them know the truth of God.Let them know that God can change them.We are not supposed to hate them, but there is nothing wrong with hating what they do. Why?simply because even God himself hates sin. If God created some men to be gays why would he punish them for being what he created them to be?I personally believe that nobody is born gay.
10 maoni / comments:
mmmmh birthday boy mbona km soga!!!!!!!ananitia mashaka kidogo.
TK I love u so much lakini leo umenikera mpenzi, unasema Herry celebrate bday with his love one, WHO? jamani mkumbukeni mungu haya mambo sio ya kushadidia hii ni laana inayokemewa!
Good day mamy
Lol, hata wewe teddy mlokole unamshadadia huyo shoga ptuuuuuuuuu mimate mdomoni nasikia harufu ya kinyesi
What do you guys mean?... That is NOT nice of you to say that. (Loved ones- ni marafiki zake awapendae!) What's wrong with that?!.... Simfahamu sana Herry zaidi ya kuwa na urafiki nae Facebook na naamini ni kijana mzuri that's it!, so who ever he is, ni yeye! Wewe ni nani hata kuthubutu kumtema mate?!
Bwana Yesu alikuja duniani kuwakomboa watu wote! Akimaanisha yeyote amtafutaye anakaribishwa. Na mimi ni nani hata nimjaji mtoto wa watu?
Nilipofika hapa US nimeweza kujifunza mengi juu ya watu wanaopenda jinsi moja, kiukweli ni ngumu kuelewa tena tena kama umekuwa ktk ulimwengu unaowatenga watu hawa. Unawezaje kumfafanua mtu aliyezaliwa gay ambaye kamwe hajawahi kufanya ngono kabisaa na binafsi anachukia kuwa gay?!... Unaweza kumfafanua vipi mtu kama huyo?...
I think people don't choose to be born gay. I have seen little kids who don't even know what sex is but you can totally tell, they are little gays.
Kumtema mate gay haina utofauti mkubwa na yule binti aliyekuwa akipigwa mawe kwa kosa la kujiuza, bwana Yesu akastopisha zoezi hilo na kuuliza... Je, ni nani kati yenu hapa ambaye ni mtakatifu hakutenda dhambi?, Kama yupo basi na alushe jiwe. Hakuna aliyefanya hivyo, coz hakuna aliyesahihi.
So sidhani kama mimi kama nimekosea kumuonyesha upendo kijana Herry. Tuzidi kumuomba Mungu, aweze kutufunua zaidi kwa hili.
sina kawaida ya ku comment humu,ila tk umeongea point.wote tupo duniani na hakuna aliekuwa msafi,kama mwenzako ni gay unamuona moja kwa moja ni wa motoni.jee wewe mwenyewe huna dhambi?mungu ndie mwenye kuhukumu,binaadamu tusihukumiane,anaweza kuwa gay ila akawa na mazuri yake yoyote yale.binaadamu tusinyoosheane vidole
Daah umezungumza kweli
Hakika hakuna binadamu aliyekamilika.
Alafu ukiangalia sisi wote ni watoto wa mungu. Mungu ndio muumba hakuna sababu ya kumyooshea kidole mtu asiye na hatia.
Herry wewe na marafiki zako mmependeza kwa kweli!!!
Huwa si comment huku but leo imenigusa sana kwakweli. Watu wamezidi kunyanyapaa gays na kwa upande wangu sidhani kuwa inajenga kwa kumtemea mate...Teddy I agree with u kabisaa..Binafsi namjua Herry na nikija mzuri mwenye upendo.
tk... i love u.. God bless u more n more uwe na moyo huo huo wa kuona watu wote sawa mbele za Mungu..

Post a Comment