Yani baby Malaika amependezesha hizo boobs, natamani zibaki hivyo hivyo hata ukijifungua, mwili wako urudi lakini hao twins hapo kifuani wabaki. Looking lovely my dear.
Aisse, naaanza kuamini watu huwa wanasema ukiwa na mimba ya mtoto wa kike unapendeza kweli ila ya wakiume unachoka. Mumie, umemeremeta si kitoto! Maana mie picha zangu za enzi za mimba sitaki hata kuziangalia uwii mana ni kituko! Mama Marcus
7 maoni / comments:
Teddy, you are gorgeous girl
OMG u look stunning...Baby Malaika amekupendezesha sanaaaaaaaaaa lool
THANK YOU!:))
mmependeza sana kwakweli
Yani baby Malaika amependezesha hizo boobs, natamani zibaki hivyo hivyo hata ukijifungua, mwili wako urudi lakini hao twins hapo kifuani wabaki. Looking lovely my dear.
You are gorgeous!!!
Aisse, naaanza kuamini watu huwa wanasema ukiwa na mimba ya mtoto wa kike unapendeza kweli ila ya wakiume unachoka.
Mumie, umemeremeta si kitoto!
Maana mie picha zangu za enzi za mimba sitaki hata kuziangalia uwii mana ni kituko!
Mama Marcus
Post a Comment