Wewe mtoa comment wakwanza,kusoma hujui hata picha huoni?!! Khaaa ur so low my dear..umeshandikiwa Miriam Odemba wee unakuja mfananisha na tk...ulifaulu kweli wewe darasani?!!
we unaemkosoa mwenzio kusoma hajui una akili kweli au akili zako ziko sawa?hajui kusoma lkn anajua kuandika?kataka ujumbe mfikie tk sasa tatizo liko wapi? acha uswahili wako humu hii blog ya tk mbona mwenyewe hajamkosoa jaribu kuwa mstaarab toa maoni yako usianzishe malumbano yasiyo na maana
we mtoa comment wapili naona km hauko sawa?kaandika TK,how can you say she is low?you dont even know her?unaonekana mkorofi km mdada mmoja ambae ana blog ambayo imefungwa,ana mambo dizain yako she knows too much!wacha kudandia maneno ya watu.PERIOD
samahani km nimewakwaza na nmnaniona hamnazo,sijaandika tk mbona umekua mweusi nawakati wewe ni mweupe?nimeongelea nywele,nakuhusu hilo swali lako km nilifaulu darasani?well NILIFELI are happy now?kuwa mstaarab and grow up DEAR!Naingia kwa hii blog ajili nampenda tk na si kujibishana na binaadam wakorofi km wewe.
pendeza miriam kama hujazaa vile bidada.Huyo mdau wa pili hana ustaarab kabisa!utamwambiaje mwenzio ur so low?,ungemwambia yule kwenye picha ni odemba na c tk angekuelewa.Kiukweli hukutumia ustaarabu ndg yetu
11 maoni / comments:
tk baby hizo nywele hazijakupendeza km ur natural hair plse plse dear katoe bwana mungu akupe afya njema wewe na malaika love you
Wewe mtoa comment wakwanza,kusoma hujui hata picha huoni?!! Khaaa ur so low my dear..umeshandikiwa Miriam Odemba wee unakuja mfananisha na tk...ulifaulu kweli wewe darasani?!!
MO u luk mwaah my dear,just on point!
kwikwikwi lolest kweli anon wa kwanza hamnazo uwiiiiii
Atakuwa amekosea tu bwana. Mtu ukikosea haimaanishi hana akili jamani. Labda alikuwa anamsoma Miriam na tk at the same time
we unaemkosoa mwenzio kusoma hajui una akili kweli au akili zako ziko sawa?hajui kusoma lkn anajua kuandika?kataka ujumbe mfikie tk sasa tatizo liko wapi? acha uswahili wako humu hii blog ya tk mbona mwenyewe hajamkosoa jaribu kuwa mstaarab toa maoni yako usianzishe malumbano yasiyo na maana
we mtoa comment wapili naona km hauko sawa?kaandika TK,how can you say she is low?you dont even know her?unaonekana mkorofi km mdada mmoja ambae ana blog ambayo imefungwa,ana mambo dizain yako she knows too much!wacha kudandia maneno ya watu.PERIOD
samahani km nimewakwaza na nmnaniona hamnazo,sijaandika tk mbona umekua mweusi nawakati wewe ni mweupe?nimeongelea nywele,nakuhusu hilo swali lako km nilifaulu darasani?well NILIFELI are happy now?kuwa mstaarab and grow up DEAR!Naingia kwa hii blog ajili nampenda tk na si kujibishana na binaadam wakorofi km wewe.
haaaa ha haaaa,soo funy mi huwa napenda kusoma comment tu jaman mweee,hajui kusoma anajua kuandika kwiii kwikwikwiiii mhhh hiyo kali kuliko
YOU LOOK GOOD MAMA IRIS
odemba you look japo ulichezea bahati yako!we second anon how dare you call first anon he/she so low?try for once in ur life to respect people

Post a Comment