Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, June 6, 2011

Mama Malaika.

.

30 maoni / comments:

Anonymous said...

Look pretty Teddy!

Naney said...

wowwwwwwww...smply amazing..God Bless You

Anonymous said...

WOW....U LOOK CUTE BABE MAY GOD BLESS U DARLING XOXO

Anonymous said...

hot mama.. umeshajifungua mpz?

Anonymous said...

hongera saaanaaaaa tk...God be wt u til the end...

Anonymous said...

ohhh kweli mama malaika umependeza sana mamy..Mungu you mwema.

Anonymous said...

aaaawwwwwwwww Teddy, wewe ni mdhuri jamani duhhhh!!

Anonymous said...

you look more beautiful. Nisaidie kuwauliza Nancy Sumari, Sophia Byanaku na Irene Kiwia. How dd they manage to keep the body slim hata baada ya kujifungua? They look more beautiful everyday!!! Hope you will as well. Cheers!

Mama Walt said...

congrats a lot Teddy..Am so happy for u.May God keep u strong n healthy,till u see the face of ur lil angel..Wow!so u r having a girl?thats awesome.Gud to see uv picked a name already,coz i know how hard it is,when it comes to look for baby's name.Mama Malaika,welcome to the happiest club.

Anonymous said...

uwiii,nimekukubali mama,ww ni mzuri

Anonymous said...

Wow tk uzuri unaongezeka zaidi wakati uu ambao umebeba zawadi isiyomithilika kutoka juu, ni jambo la kheri kuleta uhai duniani. Nani kama Mama? Tumekuwa tukifanya uanamitindo pamoja na sasa mimi ni mama tayari na mwanangu anaitwa malaika pia ndo maana nilipofungua blog yako leo na kusoma kichwa cha habari nikaongelea moyoni upendo wa kweli uendelea popote ata iwe mbali kiasi gani. mungu awe nawe miss ya xoxo mama malaika

Anonymous said...

congrats Sweetie!!

eve said...

i so looooove u tk.. congrats... me luv malaika too already!!! God bless u mamii in ur wonderful journey..

eve said...

i so looooove u tk.. congrats... me luv malaika too already!!! God bless u mamii in ur wonderful journey..

Anonymous said...

Wow pendeza sana. Honger sana mdogo wangu mungu ni mwema. ubarikiwe sana

Lisa said...

Beautiful Teddy may God bless& watch over you

Aisha said...

WOW!!!!!!!!!

Anonymous said...

I salute you tk katika wake za wazungu wote wewe kwanza mzuri pili huna mashauzi tatu inaonesha wewe na my husband mnapendana kiukwei mapenzi ya dhati mrivumilia miaka 10 mlijuana mda mrefu haujakimbiria kujibebesha mimba kama majority wanavyofanya hao wanadandia Lifti siku2 harusi hatimai na mtoto on da way arafu eti tunapendana ni uongo hapo hakuna mapenzi kiukweli penzi la mzungu linachukua muda mlefu miaka na miaka nakumuelewa mzungu si mchezo nakusalute tk hapo mzungu anakueshimu proud of u wewe ndio mke wa mzungu original miaka kumi salute mweee roho ya bwana ikurinde

Salma said...

You look absolutely gorgeous my dear! Safi sana. Alafu haujavimbavimba. Or because is a girl. Mimba za watoto wa kiume zinavimbisha sana uso.

Anonymous said...

Aiiiiii,
u look so amazing baby. Kiukweli nakupendaga sana bidada, kila siku huwa naingia hapa kwako na nisipokuta umeweka picha yako mpya huwa nakosa raha ghafla. Kibaby kimekupendezesha zaidi really ur so beautifully. Love u!

P! said...

Mweeeh...dia,unantamanishaje sasa...Lolz..Afu cpati picha huyo mtoto atakuaje,she z gonna be a true definition of 'Total Knockout' m sure, Angekua mwanangu mi ningempa hilo jina*Wink*..Basi walimwengu watashikana mashati mitaani,balaa!!...I can imagine how beautiful n exited u feel inside..Ur days cant get any lovely!!Gal,U've got what every woman wishes 2 have..Wish u all the best lov,and God be with U!! <3

NB: Gal u soo pretty..Hivi do u know about that?M wondering!!

P! said...

Mweeeh...dia,unantamanishaje sasa...Lolz..Afu cpati picha huyo mtoto atakuaje,she z gonna be a true definition of 'Total Knockout' m sure, Angekua mwanangu mi ningempa hilo jina*Wink*..Basi walimwengu watashikana mashati mitaani,balaa!!...I can imagine how beautiful n exited u feel inside..Ur days cant get any lovely!!Gal,U've got what every woman wishes 2 have..Wish u all the best lov,and God be with U!! <3

NB: Gal u soo pretty..Hivi do u know about that?M wondering!!

Anonymous said...

DUH TEDDY WEWE NI MZURIIIII! NO JOKE!

Anonymous said...

umependeza pregnancy imekupenda hujavimbiana anony sio siri penzi lamzungu halitaka haraka nilipata wangu watu wakanishauri beba mimba haraka bila hivyo ataingia mitini na mimi sikua na uzoefu na wazungu he was my first love nikaona kweli wake za wazungu wenzangu wamejizalia haraka na mimi nilifuata ushauri mungu alijalia nilijifungua salama lakini hakua namapenzi na mimi kabisa mapenzi yote yalihama kwa mtoto hata kunigusa ile romance hakuna nilihisi kwamba hakupenda nimejibebesha nikawa simuelewi yani sijui anamsimamo gani kazi za nyumbani mimi kulea mimi nikashindwa kuelewa mbona penzi limekua chungu kwani wakwe nao walinihoji mlipanga?sijui unasavings?eti mtoto wao hata bongo hakujui maswali kibao mpaka nilishindwa kujibu kumbe mumewangu hakupenda na asiniambie matatizo kwenye nyumba mpaka siku aliniambia makaratasi ya talaka yamekuja i was like why i didn't see it coming nilijua tu ndoa zote za wazungu hazina amani hasa mkizaa wanabajeti kila kitu kulalamika hela alikua aniambia kabla hatujapata mtoto tulikua happy na alikua na mahela saivi amekua masikini:( nakuheshimu sana teddy uamuzi mzuri ukiwa na mzungu lazima ujipange hawapendi majukumu na mambo yakushtukiziwa ongera god be wt u babe

Anonymous said...

Simply Georgeous....!!ni kweli Mungu atakuinua form Glory to Glory...be blessed!!!!

Teddy Kalonga aka "TK" said...

THANKS EVERYONE! XOXo

- Pole my dear. You should probably just take your baby with you. It's your baby.

Relationships are kinda hard to define. Some couple can automatically hook up, have a baby, and fall in love kwa kipindi kifupi. Some don't work like that! Although mutual plans and agreement is always the best thing to do for any couple.



-TK

Anonymous said...

Wow, Hongera sana mama M, Mungu akusimamie ujifungue salama na upate mtoto mwenye afya tele na asiyejiliza usiku kucha:-(

well, Anony uliyeandika kuwa penzi la wazungu halitaki haraka? No way.... Hayo ni mipango ya Mungu. Kama Teddy alivyosema nina muunga mkono. Huyo mzungu alikuwa na yake.Kwani wewe kujifungua umaskini umetoka wapi? Si ni mtoto wake inabidi amuhudumie? labda wewe usiwe unafnya kazi basi hapo ndo mzigo kwake.Mtoto ana cost ile mbaya, Hiyo imekula kwake. Atamuhudumia mpaka anaingia kaburini. Lakini hana lolote ameamua kuleta visababu hivyo. Wazungu wengi wao NDIO huwa wanapenda saana watoto zao so labda yeye alizidisha kipimo au wewe ulikuwa unahisi vitu vimechange koz huwajui wazungu:-( Isitoshe mtoto akishaingia ndani ya nyumba kuna baadhi ya vitu huwa vinachange, Life haitokuwa the same kama mlivyokuwa bila mtoto. So nikujaribu kwa na system na mtoto: like, kumlaza mda mmoja kila ikifika jioni, mtoto asiwaamulie vitu vya kufanya ili mpate mda na nyie kama couples.
Ni bora amekuletea divorce paper yeye kuliko wewe koz kama ungemletea wewe ingeonekana ulikuwa unataka tu kumtumia:-(
Well, Mshukuru Mungu kwa yote na usichoke kumuomba. your dream husband yupo sehem:-) Na huyo mume hata usimbeleleze mwache aende wazungu wapo kibao nje, wala usiogope ukafikiri wazungu wote wapo hivyo....!
Kuna kitu nimelearn ukiwa unaishi kwa jamii ya wazungu.. Usikae hata siku kujishusha watakutumia na kukudharau then watazidi kukudidimiza wakijua kwenu ulikotoka ni maskini na shida tupu:-)ndo maana unawanyenyekea wao. Pole kwa yaliokukuta, Ongeeni na mjadili jinsi ya kumtunza mtoto na wala msikae kuwa maadui for the sake of the baby...
all the best dear, I feel you
Mama Marcus

Anonymous said...

Hii wajina,ni kweli wanawake wengi tuna dhani kushika mimba ndo kumkamata mwanaume kimapenzi,tunajidanganya,hata mm nilipo pata jamaa out of africa, marafiki wakaniambia nishike mimba ili asije nikimbia,nikawaza nikaona sio ushauri mzuri sikushika mimba,basi tukaendelea na urafiki/uchumba,akawa ana kuja bongo kila mwaka mara 1,tukawa tuna wasiliana kwenye simu,email na web cam,miaka 3 baadae ndo tukafunga ndoa,na sasa naishi nae lkn maswala ya mtoto ndo tumeanza kuzungumzia kwa baliii labda next year.

Anonymous said...

May the Lord Jesus protects you n ur family n the life inside you
just like u bi dada

Anonymous said...

oooh Im happy for you Teddy..i heard the news somewhere sikuamini..leo nkaingia kujionea..kwanza you look great jamani..mimba imekupendezaaaaaaaa hasaaaaaa..hata nashindwa kueleza..Mungu amejibu maombi,im really happy for you..baby malaika atakuwa kazuriiiiiii sipati picha,wazazi wote mpo hooooooot;Congrats..Cant wait for malaika..usitunyime picha pleaseeeeeee

Total Knockout Search!!

Custom Search