"Sijui nitumie mbeleko gani kubaki na nywele natural." Hair extension mateso!...I wonder,.. is it mazoea au kutokujiamini!?!...For me I think it needs more than confidence to be free with your own natural hair.
I didnt know that u have a such beauty baby face..u look fab on ur natural hair than extension..ukweli extensions zinakuzeesha usoni..hasa zile ambazo zinafunika hadi uso wako..ur ar more than beautiful lady..JIAMINI MPENZI
Sasa mbona umekaficha katumbo mammy? i like 2 see ur kitumbo bana....
Hiyo ni Mylotion ndo inakutenda hivyo? sasa mie niko mkoani Mwanza nikiihitaji itanifikia? I mean biashara itafanyikaje? please nijibu niko interested dia.
Wala wasi wasi wako tu au sijui mazoea, hiyo natural hair inakukaa poa sana kwa ushari wangu anza kujizoeza unakaa nazo mda mrefu bila kutinga wig na utazoea tu. Ila uko poa kabisa na smart kwa hiyo nywele yako.
ujue watu wengine uzuri wao uko kwenye mawigi na ma extension,wakiyatoa wakabaki natural utawakimbia.duuu mwanamke natural.Teddy unatisha mbona nywele zako azikatiki ukitoa extension?uvae miwigi unaonekana bomba uvue unaonekana bomba.lol
navyopenda kuweka weave,rasta ila nina uhakika napendeza na nywele zangu nzuri na mpenzi amekuwa akiniambia mara nyingi na hapendi nisuke, ila imeshakuwa tabia nazipenda sana, nikitoa naona kichwa kama chepesi sanaaa....siwwezi na sitaki kuweza
yaani you just need to be patient with it check out the blog bglhonline.com black girl long hair, also there a lot of inspirational naturals on youtube. I have been natural for a while and its amazing the growth I have had its possible na nywele zangu ni kipili pili kabisaa and I can style it nicely and still look attractive and presentable haya mambo ya kipilipili its just we have been brainwashed to believe we are not beautiful the way we are.know thyself and love thyself.
15 maoni / comments:
Mwe! i gotta get sum a that MyLotion dadaaa!!!
Hahahahaa karibu sweetheart! I like that "mweh".LOL! I say it a lot mpaka Codynino kaidaka!:))
<3
TK
Unapendeza zaidi na natural hair. U look young and sex
I didnt know that u have a such beauty baby face..u look fab on ur natural hair than extension..ukweli extensions zinakuzeesha usoni..hasa zile ambazo zinafunika hadi uso wako..ur ar more than beautiful lady..JIAMINI MPENZI
Mambo dia,
Sasa mbona umekaficha katumbo mammy? i like 2 see ur kitumbo bana....
Hiyo ni Mylotion ndo inakutenda hivyo? sasa mie niko mkoani Mwanza nikiihitaji itanifikia? I mean biashara itafanyikaje? please nijibu niko interested dia.
Wala wasi wasi wako tu au sijui mazoea, hiyo natural hair inakukaa poa sana kwa ushari wangu anza kujizoeza unakaa nazo mda mrefu bila kutinga wig na utazoea tu. Ila uko poa kabisa na smart kwa hiyo nywele yako.
TK MyLotion in DSM we need it puliiz jamani au niwe your agent maana dat skin colour inaniuwa Lolest!
wengine ni kipilipili mnoooo huwezi hata kuzibana wala kuzitimua afro. Asante hizi rasta zinatusevu wajameni
ujue watu wengine uzuri wao uko kwenye mawigi na ma extension,wakiyatoa wakabaki natural utawakimbia.duuu mwanamke natural.Teddy unatisha mbona nywele zako azikatiki ukitoa extension?uvae miwigi unaonekana bomba uvue unaonekana bomba.lol
Nywele za bandia zinaharibu sana nywele zetu, basi tu tunaziendekeza. Jitahidi kuachia nywele zako Teddy. Zinakupendeza sana.. Labda nikizidi kukuona na nywele zako nami nitapata moyo.maana mmh
Kama nikun'gate vile kha!yaani unapendeza kwa kila kitu mami
umependeza sana your natural look natamani nikuangaliage tu
navyopenda kuweka weave,rasta ila nina uhakika napendeza na nywele zangu nzuri na mpenzi amekuwa akiniambia mara nyingi na hapendi nisuke, ila imeshakuwa tabia nazipenda sana, nikitoa naona kichwa kama chepesi sanaaa....siwwezi na sitaki kuweza
yaani you just need to be patient with it check out the blog bglhonline.com black girl long hair, also there a lot of inspirational naturals on youtube. I have been natural for a while and its amazing the growth I have had its possible na nywele zangu ni kipili pili kabisaa and I can style it nicely and still look attractive and presentable haya mambo ya kipilipili its just we have been brainwashed to believe we are not beautiful the way we are.know thyself and love thyself.
unajua we binti ni mzuri sana.Zaid napenda unaonekana una roho nzuri sana mungu atakupa mafanikio makubwa inshalla LOVE YOU BABY DOLL
Post a Comment