Kiota kipya cha maraha "Nyumbani Lounge" kinachoendeshwa na Gadna G Habash na Mke wake mpendwa Lady Jay Dee chazinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo huko Namanga, Dar-es-salaam.
Nyumbani Lounge ambayo pia inayotoa huduma ya chakula kitamu, iko nyuma ya Best Bite Restaurant, mita kama 100 hivi kutoka barabara kuu ana jengo la pili kushoto baada ya virago. Wote mnakaribishwa!!
.......................................................
Congratulations Lady Jay Dee with your hubby Gadna G Habash!!! Mnajitahidi kwa kweli!
Picha: michuzi







0 maoni / comments:
Post a Comment