"Waambiwa mapenzi yanagharama. Ukitaka yaive sharti uyagharamie kwa namna mmoja ama nyingine. Nipe nikupe!"
Beyonce ampatia husband wake gari aina ya Buggatti Veryon kama zawadi ya b'day yake, yenye thamani ya dollar za kimarekani $2million. Uwiiiii!!!
Kazi kwenu ladies, time to step up yo' game!


5 maoni / comments:
Im not hating or anything lakini mambo ya ujinga wa namna hii hufanywa na watu weusi waliofanikiwa kidogo instead of investing somewhere for their future generations, kids, grandkids etc etc wao wanakimbilia vitu visivyo na maana. Angalia mifano ya kina Facebook guy ama kina Hilton, na wengineo, they are not as flashy as this, pesa kibao mpaka leo vitukuu vyao vinaendelea kutesa kwa umashuhuri. Hawa kina B na Jay wape miaka 10 watakuwa zile za kina WHO? najua life is too short lakini think about your future kizazi, it's not just about you and today. Ni hayo tu.
huwezi jua bwana labda anaaccount ya kumfurahisha mumewe tu utajuaje? na vitukuu nao wana yakwao wacha kujaji usiyoyajua bibiwe.
Nop, nakubaliana na anon wa kwanza kweli kabisa wazungu wanaakini sana na wapo makini na mapesa yako kuliko weusi, watu weusi tumejawa na mashauzi tuu, baada ya muda hula lolote. anon # 1 good point
anon wa kwanza incase kama ulikuwa hujui Jay Z ana investment kibao na ndo zinazowaingizia pesa as well kama beyonce mfano ni kama unafatilia mambo ya investment utakuwa umegundua so fstilia kabla ya kujaji
Msemo wangu ni huo huo kwamba hata kama wanatengeneza mamilioni ya pesa hii ya kufuja kwenye magari ya gharama kiasi hiki ni upuuzi wa hali ya juu, magari, na nguo za madesigner sio asset. Hivi vitu hupurukutika kama majani ya miti wakati wa kiangazi. Wapi uliwahi kusoma sijui BILL GATES, WARREN BUFFET, na matajiri wengine wa kutupwa (even OPRAH) eti sijui wamewazawadia watoto wao ama wake zao magari ya kifahari kwa sababu ni b'day zao?? hiki kwangu ni kichekesho sana. Kwanini watu hawa wasiishi maisha modest, wakae nyumba nzuri na kuwa na magari mazuri ya kiasi ila wafikirie zaidi kwenye INVESTMENTS na pia kufungua organizations zitakazosaidia wenye kuhitaji zaidi kama huko africa ambako mpaka sasa kuna watu hawana maji wala umeme. Wao wakiwa wenye asili ya kiafrika ndio wangekuwa mstari wa mbele kwenye kuchangia zaidi ya hao wazungu. (yes i know wanatoaga michango ya hapa na pale but THEY CAN DO BETTER). -mdau #1
Post a Comment