Mwenyekiti wa TWAA (Tanzania Women Of Achievement Awards),Mama Sadaka Gandhi akizungumza usiku huu katika hafla ya Tuzo mbali mbali kwa wanawake wenye taaluma mbali mbali zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Mwanzilishi wa mtandao unajihusisha na utoaji tuzo kwa Wanawake wenye Taaluma mbali mbali hapa nchini (TWAA),Irene Kiwia akizungumza katika hafla hiyo usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 100 ya mwanamke duniani.
Meneja Masoko wa Home Shopping Center,Bi. Fatma (kulia) akimkabidhi cheti cha ushindi pamoja na tuzo,Bi. Khadija Mwanamboka alieshinda tuzo ya Social Welfare.
-more pictures...
Source:matukio-michuzi









0 maoni / comments:
Post a Comment