Super Model Iman Bila Make-up...
Supermodel Iman akiwa hajapaka make-up, pichani ni shot ya kinyemela nyemela iliyopigwa na mapaparazi akiingia mgahawani kutaka kupata kahawa jana asubuhi huko mjini New York.
For 55-years-old, I think haishangazi sana. Right?... sema hatutaki kukubali kwamba hata mastar wana'age.
4 maoni / comments:
Mhh mimi mama aangu anakaribia 59 lakini bado anadai. Hajaisha hivyo. Hawa mastar wanazeheka mapema mi naona...
sio hivyo unajua hawa wasomali, wanyarwanda , wahabesh wakiwa wasichana uwa ni wazuri mnoooooooo lakini uzee ukipiga hodi kidogo tu huwatamani wanakongoroka kupindukia nafikiri ni nature yao tofauti kabisa na sisi angalau tunatesa kidogo hata mama yangu ana50s lakini ukimuona msichana na hana mapesa kama ya iman
Is that really her?
No way!.
I wonder how beyonce looks without make up on!.
Kuna Picha kwa ndugu Yangu niliiona walinionesha kumbe Imani aliwahi kukaa Tanzania zamani sana nilipomuuliza Mama yangu pia akaniambia ndio anajamaa zake wazazi wake wapo Kenya sasa hivi walikuwa wakimuona Kazi anayotaka kufanya Model ni kama Umalaya walimtenga mwanzoni... Mama Yangu pia yupo Age sawa na huyu ila pia bado hajazeeka wakikubali Picha nije kuweka hapa nitakutumieni.
Post a Comment