And I'm so happy to be able to please you.
http://mylotionbytk.blogspot.com/Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru wadada woooote wa kitanzania, waganda na wakenya waliokwepo pande zote duniani Tanzania, India, Malaysia, Canada, Norway, Sweden, UK, na hapa Marekani. Kwa kuonyesha mchango wenu mkubwa katika kununua MyLotion. Leo hii ninayo Furaha kubwa na ningependa kusema ahsante sana na ninafurahi sana kuona karibia wote mlionunua MyLotion ambao niliofanikiwa kuwasiliana nanyi, mmetokea kuipenda kiasi cha kuwa wateja wakuu. Binafsi, natumia MyLotion na kama unavyoona inanitenda vyema! Furaha yenu, ni furaha yangu. Nami nasema mungu awabariki sana. Kama wewe ni mgeni, pia ungependa kujaribu MyLotion tembelea http://mylotionbytk.blogspot.com/ kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kupata.
Nawapenda wote.
XOXO Teddy Haight



14 maoni / comments:
We love you too TK you are awesome! Ima keep buying it forever.Thank you so much :)
Nubgu bawe akubariki TiTi kwa kutuletea lotion nzuri inayofanya ngozi zetu zionekane vizuri na kuwa kama za watoto wa changa...Mungu abariki kazi za mikono yako
hii picha mzuri umependezaa , ile iliyopita tulidhania una mimba ulikua unaonekana shavuuuuuu
:)) Ahsanteni pia! You guys are the best! mwaah!
-TK
tk tuliwasiliana ukaniambia utanipa namba ya mtu unaemtumia mzigo uku,ili
thanks tk kwa lotion bwana ninzuri kupita maelezo.ubarikiwe
viva my lotion
mimi mdau wako wa UK.ntakuunga mkono til the day i die.hii lotion sitaweza kuiacha.
Tk kwenye hizi pic unaonekana mwembamba, ni latest pics ama za zamani? And another thing, I love u to bits but ammm... What do u do for a livin? Modelin? Studin? House wife? Or? O and, mylotion inafanya mtu uwe mweupe ama? Coz I am dark nasitaki kua mweupe kabisa, I use cocoa butter, so could I still use it? And I am size 8uk, lakini I sometimes wear a 10, nimenenepa as I was in bongo like a week ago, I want to loose this weight as soon as possible, nifanye nini or wat should I like eat or somthing? No mazoezi as I hate kufanya mazoezi. Plz reply me back? Much love shanti
Congrats this sounds like a great product,keep it up.
Mylotion numéro un!
Yaani baada ya kujifungua ngozi yangu ilikuwa haieleweki. Mylotion imerudisha colour ya ngozi yangu.
Thanks honey kwa kuwa mbunifu wa Mylotion.
me likey..
Mama Marcus
wawoooo maybe soon i will be one of ur customer love ya girl,,,,,,flora
TK naku admire sana nakumbuka wakati nilipokuona kwa mara ya kwanza Bench mark it was 2001 kama sikosei wakati Bench mark wanatafuta models nakumba tulikuwa na kina Ben kinyaiya na wengine wengi Irene na Miriman Odemba n.k yaani nimefurahi kuona umefika mbali
Mungu akubariki uzidi kufanikiwa...am happy 4 u
St
Hey TK, aisee me napenda sana blog yako lkn kuna kipindi nikawa sikupati kbs! baada ya kurekebisha mambo sasa pouwa.
Mechelewa kuona mambo ya MyLotion ila kiukweli nakufagilia sana tangu enzi za Jackpot Bingo! Naomba unijuzi km una mtu anaziuza hapa Dar ili nami nijipatie yangu, hope cjachelewa sana mwenzako! Plz
Mungu akubariki sana Love, twasubiri Perfume sasa, unaweza tuletea ya kipekee pia. Kila la heri.
Mdau wa Urembo
Post a Comment