Fiderine Iranga ni mmoja kati ya mamodel mashuhuri wa kwanza waliotamburisha fan ya umodel Tanzania. If you ask me about Fide, I will tell you ni mmoja ya wadada wenye roho nzuri sana Bongo.
"I believe, she is real." Fide ni mtu ambaye mtundu, m'bunifu na aogopi kuwa herself kwamba kuna mtu atamjaji. Pia ni mmoja kati ya watu mwenye huruma na upendo kwa kila mtu. Kwa namna moja ama nyingine Fide ameweza kuwapiga kushirikiana vyema na waliokuwa ma'future stars wengi sana ambao kwa sasa wako kwenye ramani. Nazungumzia kwa kuwa'treat kama wadogo zake kabla hawajakuwa mastar na hata baada. Akiwemo Hasheem Thabeet, Flaviana Matata, mimi mwenyewe na wengine wengi tu ambao kwa sasa ni mastar.
Pamoja na kuongezeka mwili Fide bado mpaka sasa anafanya vizuri kwenye fani hii ya uwana mitindo.
Siku ya leo the Legendary super model a.k.a GAGA (live) Fiderine Iranga anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.
Pichani chini kutoka juu akiwa na Miss Tanzania Nasreen Karim.
~HappY Birthday Fide!!!!!!!! <3 <3 <3 Gaga LIVE!:)



2 maoni / comments:
happy bday gaga
happy bday Gaga
Post a Comment