Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, February 24, 2011

VODACOM FOUNDATION WATOA SHILINGI MILLION -58 KUSAIDIA GONGO LA MBOTO.

Vodacom Foundation yaonyesha upendo tena... Kama ilivyoonyesha ushirikiano mapema baada ya maafa ya mabomu kutokea kwa kutoa huduma ya chakula, jana kampuni hiyo ya simu ilijitoa hundi ya shs 58million kwa kitengo cha maafa ili kusaidia walioadhirika na mabomu ya gongo la mboto.

Bravo!!!

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search