Our Total Knockout Kenyan girl Stella Mwangi just recently she was announced as the winner of the national Melody Grand Prix 2011 ulaya! Alishinda na wimbo wake unaobeba jina la"Haba haba hujaza kibaba" ambao ulimpa point nyingi kuliko wenyeji wa nchi hiyo. Wa'east Afrika tuko juu!!!
"I loved Stella from a day one, she is one of the Kenyan artist I adore. I see anawakilisha kiswahili pia".Sweet!!
She is a beautiful lady, very impressive. Alieuliza lugha nadhani hicho ni ki-norweigian. Ni binti mdogo kazaliwa 86 yeye na familia yake walihamia Norweign mwaka 91 kwahiyo amekulia huko ndio maana anaongea fluent lugha ya huko. Very impressive.
2 maoni / comments:
lugha gani hiyo anaongea? kikukuyu ama?

Post a Comment