Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, February 18, 2011

MISAADA YATOLEWA KWA WAATHIRIKA WA MABOOM GONGO LA MBOTO!

Pichani mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom foundation  Mwamvita Makamba pamoja na meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha vyakula na kuwakabidhi Red Cross walioko katika uwanja wa uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waathirika wa maboom ya Gongo la Mboto. -more pictures...
Mfanya kazi wa Vodacome na Red Cross wakisaidia kushusha vyakula. 
 Baadhi ya wafanyakazi wa vodacom wakizungumza na mmoja wa watoto waliopoteza wazazi wao katika mlipuko huo wa maboom uliotokea juzi huko Gongo la mboto...

Source: Issamichuzi

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search