Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, January 31, 2011

BABY NUMBER 2 FOR RAH P!

 Msanii wa siku nyingi wa Hip-Hop bongo flava anayekwenda kwa jina la Rah P, ajifungua mtoto wa kiume ambaye ni wa pili tokea kupata mtoto wake wa kwanza wa kike. Akiongea na total knockout jana, Rah P alisema mtoto huyo wa kiume alizaliwa Dec 16 huko mjini Houston Texas anapoishi. Bonyeza read more kwa umbea zaidi...
Tulipomuuliza kuhusu fan yake na kama bado ni mgumu, akasema sasahivi yeye ni mama. Akacheka na kuongeza kusema, "Hahaha sasahivi ukiniona ugumu wote umeisha, ila tegemea ujio mwingine kutoka kwangu, kwani sasa najikita kwenye ku'act!"...


Twamtakia kila la heri Rah P! Na hongera sana kwa kutuletea mtoto #2.

1 maoni / comments:

tweety said...

Kila la kheri na hongera sana kupata bounce boy!!
tweety

Total Knockout Search!!

Custom Search