Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, October 26, 2010

LEBRON JAMES Asheherekea "HATER DAY"....

Lebron James celebrated his own holiday called 'Hater Day' on his Twitter account. Find out what happened.....

WILLOW SMITH ANASEMA:" Nataka Kuwa Famous Kama Mama na Baba Yangu"!!!


Willow Smith, mtoto wa waigizaji Jada na Will Smith akiwa kwenye mahojiano na AP hapo juzi alisikika akisema,"I want to be famous like my mommy and daddy". Willow ambaye kwa sasa ni mwanamuziki anayetamba na wimbo wake wa "Whip My Hair" ambao ndani ya iTune kwa leo umetembeleaji zaidi ya watu millions 7....more  "Whip My Hair" video

BABY MARCUS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! SO CUTE!

GOD bless you more and more angel boy MARCUS!!!! Mommy iko wapiii?....Kissses!!!

Monday, October 25, 2010

CHRISTINA MILLAN, EVA LONGORIA KUCHANGIA MFUKO WA WATOTO WENYE CANCER.

Many of our Total Knockout celebs were spotted out at various events around L.A this weekend.

J.LO AND HER BREATHTAKING TWINS POSE FOR GUCCI CAMPAIGN

When you're a celebrity's kid, you're a celebrity in the womb, out of the womb and throughout your 1st few months and years your a celeb, Max and Emme are Adorbale on the New Gucci Campaign, For the children’s collection.Gucci teamed up with UNICEF’s Schools for Africa, and part of the proceeds will go towards this charity. Gucci has been working with UNICEF since 2005 and throughout its entire existence, has donated a grand total of over $9 million.

BABY TK...

That's baby teto(2yrs)Old. I guess I haven't changed much:) Have I?...

Wednesday, October 20, 2010

ALICIA KEYS NA BABY EGYPT TAYARI KWISHA KITA KITAA!


Duh!?... Kweli Alicia Keys ni "super woman" kweli. Yaani siku chache tu kajifungua tayari kwisha jichanganya kitaani. Pichani akiwa na mumewe mjini New York akifanya shopping ya mtoto Egypt!

Tuesday, October 19, 2010

BEAUTY TIPS: KAZI YA ALOE VERA...

Habari za siku kenda mdau. Natumaini umzima, ukirudi kwangu mimi ni mzima wa afya tele...mungu ashukuriwe! Ni muda kidogo toka tuzungumzie safu hii ya urembo na hii.....

Saturday, October 16, 2010

It's a BOY!...


Alicia Keys and her husband SWIZZ BEATZ welcomed their first child into the world on Thursday October 14th in New York City.... and named the boy Egypt DEAN! A rep for the couple confirmed to MTV News that Egypt was also welcomed by Beatz's 3 other children on Thursday. Swizz hit Twitter and reflected on his good fortunes: "I'm so thankful for everything I've been blessed with in my life wowwwwww! #realtalk"Swizz has two sons, Kasseem Jr. and Prince, and a daughter from previous relationships; Egypt is Keys' first child. The couple announced they were expecting in late May, at the same time they revealed they were engaged.

Thursday, October 14, 2010

YAY!!!... IT'S SAMANTHA MUMBA...

Mdau hivi ulishawahi kujiuliza Samantha Mumba yuko wapi?... Usiku wa jana was spotted leaving a party in Beverly Hills. Find out what she's been up to as well...

HOLLYWOOD CELEBRITY SPORTING CLAYS INVITATIONAL

Niliambiwa kuwa ukitaka kuwa mwigizaji ni lazima ujue kushikilia mashine hatari kama hizi. Niliogopa ila baadae nika'over come kwa kushikilia tu. 
Pichani October 9th kwenye tamasha lililobeba jina la "HOLLYWOOD Celebrity Sporting Clays Invitational" la kuchangia mfuko wa ugonjwa wa cancer na Bone Marrow ulimwengu mzima. Bunduki hizo zenye nembo ya hollywood zilikuwa zikipigwa mnada baada tu ya waigizaji kuzitumia kwa kulenga maputo angani kama aina moja ya michezo iliyokuwa ikiendesha tamasha hilo lilikuwa na mastar waalikwa wa Hollywood, kama Eva Longoria Parker,... 

Wednesday, October 13, 2010

RIHANNA-"ONLY GIRL IN THE WORLD"

UMODEL WAFAFANULIKA KI' SANAA ZAIDI KULIKO KI' UREMBO!







Image: Super model Flaviana Matata. Such brilliant shots!

MICHELLE AVALISHWA TAJI LA MISS AFRICA UGHAIBUNI!




pichani binti wa kitanzania anayekwenda kwa jina la Michelle ambae juzi, wikiendi iliyopita aliyevikwa taji la Miss Africa ughaibuni.
Wakiwemo washiriki wa3 wa Kitanzania, mashindano hayo yakishirikisha warembo wengine kutoka inchi mbali mbali barani Africa waishio ulaya.

ISABELA/ ROSE A.K.A SMART-GIRL'S WEDDING + BABY PICTURES!!!

Isabela a.k.a smart-girl, did it all at once!... She is a one young beautiful brave woman. Recently, she had all at once, A WEDDING, PREGNANCY and an handsome BABY BOY named MARCUS.
More Pics'....

Total Knockout Search!!

Custom Search