Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, July 26, 2010

Masuperstar wenye Moyo wa Kujitolea Washirikiana Kujitolea Zaidi!

Waenga wanasema umoja ni nguvu, utengano....? ndivyo hivyo Mtu mashuhuli Russell Simmons alivyofanya weekend hii. Aalika mastar wakubwa wenye moyo kama wake wa kujitolea, John Legend, Alicia Keys, swizz Beats, na kuchangia pesa ya Rush Philanthropic Arts Foundation.

John Legend & Russell Simmons.

Russell & actor Anthony Anderson ambaye aliyekuwa MC kwenye shughuri hii.

Rev. Run, Diggy&Russy.

Swizz Beats, Maxiwell, Senita Banks & Anthony Anderson.

Russell, Swizz & Alicia Keys

How cool is that!?...

Sunday, July 25, 2010

Prof. Jay ndani Boston...

Huu ni mwanzo tu wa mchaka mchaka wa tour ya Prof. Jay. Kama wewe ni mdau wa Boston, hii sio show ya kukosa.
Prof. Jay ni msanii mkubwa anayeheshimika Bongo hadi ughaibuni kwa waliopata nafasi ya kusikiliza kazi yake.

Ukimuuliza mtu yeyote mwenye akili kwanini anampenda Prof. Jay, atakwambia kwasababu "he is very smart"! Unaweza jiuliza kwanini watu waseme hivyo, jibu utalipata kama ukikaa ukasikiliza kazi yake...



Prof. Jay- "Hapo Vipi?"

Saturday, July 24, 2010

Msanii mkubwa wa Bongo flava Prof. Jay, Ambaye pia ni Balozi wa campaign ya "malaria no more", Yuko Tour'ani Inchini Marekani!

Akiongea na Total Knockout!! leo anasema: "Nimekuja kufanya music tour yangu nipo tangu july 2nd ambapo tayari nimeshaperfom mjini Houston, nikapita Dallas na sasa nipo Springfield Massachusetts ambapo natarajia kuja kufanya show August 7th baada ya Minesota August 6th. Lakini kabla hapo, mwisho wa mwezi huu July 29th nitakuwa New York kwenye makao makuu ya "Malaria no more" , ambapo wameandaa press confirence kwa kuwa mimi ni balozi wao wa malaria nchini Tanzania. Tarehe 31 july nita'perfom D.C".
Total Knockout!!: Hivi did I tell you about how much wamarekani weupe wanakuzimia? zaidi wanafunzi wa UCLA:), yaani mno. One of them is my husband! He has much luv & respect for you. Nimemwambia umeingia US kafurahi huyoo.lol!
Karibu sana Jay!

Prof. Jay: "Wow nimefurahi sana kusikia kuwa wananikubali natumaini watashow love kwenye shows maana ndio kwanza tour imeanza ha ha ha..
Daaah long time mtu wangu nimekumiss sana holla back!"

Total Knockout!!: nimekumiss pia Jiggaman, nimefurahi sana kusikia kutoka kwako. Tour njema na karibu CA.

Prof. Jay: Thanks beyonce! LOL
Picha ya chini akiwa na mwanamuziki mkubwa Wycliff Jean siku za nyuma.

Friday, July 23, 2010

T.I na Tinny Kufunga Ndoa Weekend Ijayo Miami!!!

Rapper maarufu T.I na mama watoto wake wa siku nyingi Tinny, wanatarajia kufunga pingu za maisha weekend ijayo.
List ya mwaliko wao ikiwa imejaa majina ya wageni waalikwa ma'superstar, T.I anasema anapendelea kuifanya harusi yake iwe ya siri kadri iwezavyo.
Pichani chini ni kadi yao ya mwaliko inavyoonekana.

Special Features: "Chupi nyeusi", Regarding Amani tabloid!

Hey Amani tabloid/ mshabiki Rehema,
Mimi nafikiri huo ni msemo tu wa "chupi nyeusi" kuwa wanaovaa chupi nyeusi si wasafi. Lakini si kweli, wengine ni kipendeleo chao, kwani wapo watu wanaovaa chupi za rangi au nyeupe ambao si wasafi. Chupi nyeusi inaweza kuwa classy & can be sexy... pia hufanya mtu kuonekana na makalio madogo(mwembamba). U know?...
Ukizungumzia usafi, your gal TK ni msafi kupindukia:), napenda kujisafisha kulikooo... unajua ile style ya kuingiza kidole na kuzungusha?!...Yah! "Rehema naimani utakuwa unajua nazungumzia nini!"...
Mbali na hapo hutokea mara kwa mara kwenye kazi hizi za umodel, wapiga picha upendelea rangi hiyo. Na hiyo yangu ilikuwa nguo ya kuogelea, moja ya picha niliyopiga kwenye shughuri zangu za umodel hapa Marekani.

ps:... this is just for my girls out there!  "You can't judge a book by it's cover".

xo TK

Monday, July 19, 2010

Beyonce Covers People’s Style Watch!!!

Beyonce is definitely one of top successful singer who almost done it all in terms of appearing on thousands of magazines, tabloids featuring her style. This month Beyonce is featured on the cover of August Edition of  People's StyleWatch magazine zaidi.
..............................................................................

Sunday, July 18, 2010

Wesley Snipes Goes To Jail!...


Back in 2008, Wesley Snipes was convicted of 3 misdemeanor counts of failure to file his income tax returns. His hopes of avoiding jail were crushed yesterday when a federal appeals panel denied his appeal and sentenced him to 3 years in prison.

Although his lawyers argued that the sentence was "unreasonable", the court upheld their original ruling for Snipes to serve out his 36 month bid for his more than $12 million debt. Wow!?!...

Friday, July 16, 2010

Look how quickly Halle got her Berry-Belly back!

After having a baby, its always hard for women to get  back to the exact look they had before. But An Oscar winner and mama of gorgeous daughter NahlaHalle Berry, shows that is possible if you put your mind and work on it! She looks like 22 yrs old!
 Picture: Mom Halle & Nahla both in great shape having fun on the beach yesterday.

Thursday, July 15, 2010

Beauty Tips: Ushauri Kutoka kwa Beautiful Kay Lino...

Hi Teddy,
Well let me start by saying I love love your blog. I think u r an inspiration to young women and how they need to achieve and aim high in life.So good job on that. Mimi ni Mtanzania (young girl) na ninakaa katika state moja hapa Marekani. Leo ninataka kuongelea kuhusu hii issue ya beauty cosmetic products za uso na hata mwili. Personally I think that it all depends with the skin care regimen you are on. 
Mimi nimekuja Marekani muda sio mrefu  na kusema ukweli my skin wasn't at its best wewe mwenyewe si unaelewa mambo ya bongo.Then I decided to start caring for my body, therefore I did my little research for what face/body products I should use and I was successful on that.

From that nilichogundua ni kwamba wasichana wengi hatufanyi research ya kisawa sawa and I'm not saying this out of nowhere because I have seen this so many time.But most girls that I have heard ni kwamba wakisikia mtu anatumia products nzuri za uso then wao wanaamua waanze kuzitumia. In my opinion ni kwamba an individual needs to know what skin type they have. Mfano wengine wana ngozi kavu (dry), yenye mafuta (oily) na wengine ni combination (which is me) and not everything works for everybody. Baada ya kujua what type of skin you have then you can have a wider view and range of what type of facial products to buy. Pia watu wasifikirie kwamba unavyotumia Aveeno ni kwamba it will work for them kama mimi natumia Olay works really well with my skin coz I can see many changes on my face. I am yet to try Aveeno although I have heard a lot of positive reviews from people. Neutrogena is also very good.

Halafu recently I have seen people commenting on how your skin tone has changed na wengine wakisema umejichibua.Well I'm not taking sides but my thing is that if you have gotten a product that's safe and it gives you a clear complexion for your body then that's good.

I feel this email is so long but hopefully I get a reply from you and I will definitely write more about this issue.
Hope to hear from you :)
..........................................................................
TK: THANKS KAY!


Wednesday, July 14, 2010

John Legend ni Mfano Mzuri wa Kuigwa kwa Mastar Wanaosaidia Wasiojiweza!

Jana ndani ya barua yake ya wazi na MTV News, John Legend alipata nafasi ya kuzungumzia kiundani zaidi juu ya jitihada zake za kusaidia yatima/ wasiojiweza kujikizi na magonjwa kupitia "The Show Me Campaign". Legend ambaye kwa sasa anasaidia watu kupata maji safi kwa lengo la watu kuimalisha afya zao huko sub-Saharan Africa.
Alipoongea na MTV, ana haya yakusema :
"Until recently, there was only one health facility near Mbola, and it was four miles away. When walking is your main form of transportation, four miles is a long way, especially if you are ill. During this visit, I was able to see the dramatically improved and expanded health facilities in the community. New clinics and health centers have been erected to ensure that villagers have accessible health care close to home."

Na kuongeza: "We have dramatically reduced malaria through the distribution of medicated bed nets to every family. And if someone happens to get malaria, it is no longer a death sentence since the health centers are now equipped and able to quickly treat and cure malaria with low-cost drugs. Additional promising improvements include access to anti-retroviral drugs for patients infected with HIV and medical advancements to prevent transmission of the virus from mother to child".


Pichani akiwa Tanzania.

Source


Amber Rose On Hip-Hop Cover...

Amber Rose Takes Miami!... She recently took the cover of Hip Hop Weekly's Swimsuit and Summer Style edition.
                                 Fabulous!
Photo by Eddie

CHICHIA LONDON WINTER 2010/11 COLLECTION!!!

OMG!!!...Omg is the right word for this. Check out the new Chichia Winter 2010/11 Mini Collection on NOT JUST A LABEL!
Christine Mhando, you are fierce!!!  Your work is tremendous beautiful!... I love, love, love it! 

http://www.notjustalabel.com/chichialondon

Tuesday, July 13, 2010

This could be the News!

I think I am the hottest blogger ever!... 

This is just the fact mdau, usiseme najisikia.

Chris Brown, Neyo wafuata nyayo za MJ...

Kama ulipata sikia, kuna wanamuziki wengi ambao baada ya kufariki Michael Jackson wote wanajihisi wanaweza kufuata nyayo zake... as in be the next MJKanyeUsherNeyoChris Brown hawa ndio wahusika wakuu wanaozimia taji la uking wa Pop.
Week iliyopita Neyo alikuwa bize aki'shoot music video ya single yake mpya yenye manjonjo ya kama movie fulani hivi ambayo MJ ndio ilikuwa style yake. Pia R. Kelly alishawahi kufanya kwenye "Trapped In The Closet" video, sasahivi Chris Brown naye kama inavyoonekana pichani akiwa katika shooting ya music video yake mpya ambayo tayari kisha itolea trailer.

 (Inaoneka itakuwa very theatrical video too.)

The Dream, mume wa Christina Milian, baba wa Violet miezi 5, anacheat!?...

Hivi ndivyo walivyodhani wengi, weekend hii kulikuwa na mshangao wa ajabu juu ya picha za producer x-mume wa Christina Milian, The Dream "yule aliyeandika, single ladies (Put your ring on)ya Beyonce.lol! Baada ya paparazi kupata picha zake akiwa na kimwana cha mweupe badala ya mkewe Christina, watu wengi walishtuka hakuna aliyeamini. Muda mfupi Christina Milian aliamua kupost kwenye twitter yake kwamba " hivyo ndivyo ilivyo, amini umnachokoona machoni mwenu".  Mpaka jana The Dream alipohojiwa na jarida la Us akasema kuwa yeye na mwanamuziki Christina Milian waliaachana tokea mwaka jana, hivyo waliaamua tu kuweka habari "private" kwa kumlinda binti yaoViolet. Na inasemekana mpaka sasa Christina Milian bado yuko na pete ya ndoa, hajaivua.
nae tumbo lake kama kazaa... :)

wakati mwengine watu wanaoana kwa wrong reasons. 

Friday, July 9, 2010

Movie Premiere of "REBOUND" Featuring Our Homie Cynthia Masasi!


At the premiere of the movie "REBOUND" featuring our home girls Ascala and Cynthia Masasi!
From the Top Cynthia and her boo Richard Mziray, down: Ascala, Nancy Mziray watching the opening of "Rebound".

Brandy achukizwa na kitendo cha kuachwa na Flo Rida kwa ajili ya mwanamke mwengine...

Kama ulishawahi kusikia kuhusu kuvungika kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya rapper Flo Rida na mwanamuziki wa R&B Brandy, basi utakuwa umepata sikia kuwa hakukuwa na kisa zaidi ya Flo Rida kudai kutotaka kuonyesha mapenzi yao hadharani kwa madai ya kuogopa kupoteza washabiki.

Wakati Brandy akiwa katika dimbwi kubwa la mapenzi miezi michache iliyopita, alikubari tu yaishe huku akionekana kuumia kwa uamuzi wa mpenzi wake huyo mwenye kulewa ustar. Lakini hivi karibuni imebainika rapper Flo Rida amemuacha Brandy kwa kulewa penzi la dada wa American Next Super Model Eva Marcille.


...maskini Brandy!

Mkufu mkubwa wa Egypt wa Kanye waziba pengo la Amber!?...

Ilikuwa Kanye na mdoli wake Amber Rose, sasa ni Kanye na mkufu mzito wa Egypt wenye thamani ya $300,000. Hivi karibuni aliandika kwenye blog yake kuuliza washabiki wake kwamba wanauonaje mkufu wake "is it too much?" as in is it too big!?...  Wewe unasemaje mdau?...

Thursday, July 8, 2010

Oh' Oh'... Amber Rose kutoka na X wa Kim K, Raggie Bush!?...Phew!

Mdau hii ni total knockout rebound!... Unakumbuka kipindi Reggie Bush mara ya kwanza alipotengana na Kim Kardashian kwasasabu ya msg ya Kanye kwa Kim ya kumpa compliments jinsi alivyo'enjoy nae weekend!?... Ebu imagine Reggie kutoka na X wa Kanye. Yaani ni bakora kwa Kim,  matusi kwa Kanye!
Pichani Reggie na Amber Rose ndani ya AXE Lounge in Southampton weekend hii.

Could be nice couple  though!

Tuesday, July 6, 2010

Olivia atarajia kurudi G-Unit ?...

O:Why are you laughing at me!?:)... - I am happy to see you!:)

Aliyekuwa First Lady wa G-Unit Olivia aonyesha uwezekano wa kurudi tena kundini. Jana alionekana kwenye ofisi za 50 Cent huko Manhattan, akiongozana na Bruce dereva wa 50 pamoja na meneja wake.

Wapi Fally Ipupa?...



Monday, July 5, 2010

Celebs's out and about over the 4th of July Holiday...

It was a one long holiday, 4th of July!
Rihanna traveled to Vancouver to kick off her North American tour.
 

 
Lamar Odom and wifey Khloe at the Big Apple in NYC. 
               Gwyneth and Beyonce at the Wireless Festival in Paris.
Gwen Stefan shopping with the family.

 Taylor Swift and her friend shared their cute holiday photos on twitter 

 And back to us wadau, my hubby and I went down to Venice Beach to join our friends, played volleyball, had BBQ and watch fireworks. "The photos were too sexyyy for the blog. This was before we got wasted:)"...lol!




Total Knockout Search!!

Custom Search