Cynthia Masasi super model mashuhuri aliyeamua kujikita kwenye maswala ya kuigiza. Mpaka sasa binti huyo mrembo wa kitanzania mwenye aishie Marekani, ameshamegewa vipengere kadha kutoka filamu mbali mbali ambapo American Nurse 2 ikiwa ni moja ya movie alizo cheza. Pichani Cynthia Masasi akiwa na waigizaji wengine washiriki kwenye fungua dimba ya filamu hiyo.
Daniel a.k.a “Diggy” Simmons (15) mtoto wa Rev. Run wa (Run DMC), afuata nyayo za baba'ake. Siku moja baada ya birthday yake atangazwa rasmi kuingia mkataba na Atlantic Records. Akiambatana na dada'ake Angela na mdogo wake Russy bega kwa bega kushuhudia usahihisho wa ndunguye. Diggy Simmons- "Made You Look"
Omg, I couldn't have waited much longer than this, it seems like it took forever. Ha ha ha I'm sure if you are a Jay Z's fan you should know what I mean. We L.O.V.E Jay Z!!! So just now an Absolute Vodka has released their exclusive 15 minute documentary on Jay-Z. It’s the NY-Z small film showing how Mr. Carter started out and a rare look at his life and muse–NYC. Angalia:
Leo asubuhi na mapema Los Angeles ilikuwa na mshike mshike wa (Marathon) mashindano ya mbio maalumu kwa ajili ya kuchangia mifuko kadhaa ya huduma ya kijamii. Ikiwa na washiriki mashuhuri kama mwigizaji mkubwa Shia LaBeouf (23), ambaye yeye alikimbia juu ya "veterans kuunga mkono U.S. VETS" kwa kuwa baba'ake alipigana vita vya Vietnam. Huku mkenya aliyetuwakilisha vyema "waafrika mashariki" Wesley Korir, alikimbia kwa ajili ya "Kujali Afya ya maji" na kuibuka mshindi katika mbio hizo ndefu zilizo anzia Down Town LA mpaka Santa Monica. Watu 30 walianguka na kushindwa kumaliza na 31 ilipelekea kukimbizwa hospitali ya Santa Monica na UCLA zilizoko karibu.
Ri' rocks the cover of the new issue of the Australian magazine Sunday. Though showed up to the shoot 4 hours late, the pictures came out hot enough to impress the Cover writer.
Malalamiko kutoka kwa mwandishi wa jarida hilo :-WHAT’S the longest period of time you’ve waited for someone? Twenty minutes? An hour?
I start to get cranky around the five-minute mark, so imagine how grumpy I am after waiting four hours on a Sunday afternoon for the subject of today’s photoshoot to arrive. You know how a watched pot never boils? Well, let me assure you, a watched doorway never brings a Rihanna.
For much of the afternoon, I’ve been steadily receiving text messages letting me know that the singer won’t be long (“definitely within the hour”) until, finally, when the crew are weak with starvation, we’re startled into action by a flurry of voices. Striding at the front of the 10-strong pack is the surprisingly tall star, immaculately groomed in a simple white shift dress and giant sunnies (even though it’s 7pm). She takes the time to greet each of us with, “Hi, I’m Rihanna.”
Beauty Tips: Jinsi ya kuupa uso wako muonekano wa ngozi tight, laini na ya kuvutia. Siku ya leo Total Knockout beauty tips, tuna njia tatu nyepesi ambazo matokeo yake uonekana baada tu ya kutumia. Ok, basi kama uko nyumbani ni vyema ukasogea jikoni kabisa ili kujiandaa kuupa uso wako ngozi changa na yenye afya kwa kipindi kifupi.
Mask ya asali: Hii mask ni nzuri sana kwasababu inamoisturizering ngozi yako na ubana vishimo vya ngozi vilivyo wazi. Pia ni nzuri kwa ngozi aina zote. (za mafuta, kavu, na zilizo za wastani).
Ingredients: Asali kiasi chochote cha kukutosheleza.
Jinsi ya kutumia: Paka asali kwenye sura yako hadi shingoni kama ukitaka kulinganisha uwastani wa ngozi, lakini kuwa mwangalifu isiingie machoni kwa hiyo ni vyema ukakwepa sehemu za macho. Iache kwa dakika 15 – 30,(relax), kisha osha kwa maji ya vugu vugu. Halafu malizia kuosha na maji ya baridi ili kuziba vishimo vya ngozi zilizokuwa moisturized na asali.
-Hii ni kwa mtu yeyote, iwe mwanamke au mwanaume wote waweza kutumia hii moisturized asilia kujipa muonekano wa'kichanga(kiupya).
Stanboi(23) msanii wa Bongo flava kutoka kwenye kundi la East Coast mwenye makazi yake hapa Marekani, aanza kuonyesha ishara ya kutimiza ndoto zake za kufanya kazi na wasanii wa wakubwa na kuipeperusha bendera ya Tanzania kimuziki. Pichani hivi juu akiwa na rapper Chammillionaire,chinikatika pozi la pamoja na mwanamuziki mkubwa wa R&B Mario soma zaidi>>...
Wakazi a.k.a Swagga Bovu born Webiro Noel Wassira in December 27, 1982. He became a fan of Hip Hop music at a very young age influenced by his older brothers who used to play records in his presence as he recalls. He started to imitate and recite the raps of some of the artists and eventually it became a habit.Although artist like Big DaddyKane, Tupac Shakur, LL Cool J, Heavy D were the first ones he heard and grew to like, his real challenge as a rapper came when he heard all of his friends rapping to Saleh Jabbir ‘s recital of “ice ice baby” originally sung by vanilla ice. Things got worse when he went home and his younger brother who shouldn’t know anything about rap, was actually rapping the whole song by 2 Proud (Mr. II a.k.a Sugu) called “siku hii ni siku ya”. He was forced to know both songs as soon as possible if he had to stay cool among his peers. In order to remain cool in his school days, he would listen to tapes (before the CD era) and write the lyrics down and cram them. Fast forward to his high school days, the love of... Read more>>...
Kwa kusikiliza au kuona kazi ya msanii Wakazi bonyeza links hapa chini: www.myspace.com/wakazi
Tokea saga la Jesse James mume wa mwigizaji wa kike Sandra Bullock kushtuhumiwa kutembea nje ya ndoa, Hollywood imekuwa gumzo. Watu wengi wamebaki wakijiuliza kuwa, inakuwaje washindi wa kike wa Oscar wamekuwa wakiachika baada tu ya kushinda tuzo hiyo muhimu.
Pichani waigizaji wakubwa wa kike walioachika baada ya tuzo ya Oscar. -Kate Winslet’s aliachwa na Sam Mendes, 2000-Hilary Swank na Chad Lowe, 2001- Julia Roberts na Benjamin Bratt, 2002-Halle Berry na Eric Benet, 2004-Charlize Theron na Stuart Townsend
"I hope Monique hatompoteza mumewe kipenzi, anayevutiwa na vinyweleo vyake vya miguu:)"...
Uhusiano wa Alicia Keys na familia Carters wazidi kuongezeka. Usiku wa jana ndani ya Madison Square Garden, yeye na bwanaa'ke Swizz Beats walipanda jukwaani na ku'perform. Keys mara akawa'surprise washabiki wake baada ya Beyonce kutokea kuimba wimbo wao wa "Put It In A Love", mwisho wa show akamalizia na “Empire State of Mind II" wimbo wa yeye Jay Z. Wanamuziki wengine waliolikwaa jukwaa ni Melanie Fiona na Robin Thicke.
Updated: Mwanamuziki wa Hip-hop wa siku nyingi DMX ashtushwa na hukumu ya miezi 6 jela iliyotolewa na jajii wa Arizona hapo jana, baada ya kushitakiwa kwa kosa la utumiaji wa madawa ya kulevya. Angalia video:
So now Swizzy’s divorce is finalized, the couple are taking their not-so-secret relationship public. They recent walked together on the red carpet at the Gotham Magazine Annual Gala in NYC, which was also hosted by A. Keys. "Kwa raha zao", sasahivi ni full kujiachia!:)
Pichani: mwanamuziki Estelle, na Kelis ambaye kama kawaida yake akiwa ametoka na style yake ya ki'retro hip-hop punk fulani hivi. Chini akiwa amepozi na rafiki yake Damon Peruzzi kwenye Real King of New York party ndani ya Juliet Supper Club wikiendi hii mjini NYC.
From Vanessa Dee: "So, Here is the story. I started working with MTV Base about three years ago. I've participated in a couple of gigs in all over Africa and South America. My passion has always been modeling though... And that's where You come in. I'm participating in this Benetton modeling recruitment. I need as many votes as possible. And your vote will really make a difference."
Okay, so here is a PUR ad for Children's Safe Drinking Water project that was done recently mdau. I'm sure some of you got a chance to watch Summit on the Summit yesterday, MTV were showing celebrities climbing Mount Kilimanjaro for PUR. And this is just one of the ad I was featured in. And promise me you won't laugh at that cute accent of mine..."kiingereza cha kijiji". it's cute thou.I liked it:)!
George Lilanga (1934-2005), ni mmoja kati ya waliokuwa wasanii wakubwa nchini Tanzania, ambao walipata nafasi yakuitangaza kazi yao kimataifa. Lilanga ambaye kwa sasa ni marehemu, enzi za uhai wake alipata nafasi kupata mialiko mingi kutoka nchi mbali mbali ikiwemo Italy, Marekani, China, Austria, Japan, Ujerumani, Uingereza, Switzerland, Ufaransa na kujenga jina kubwa na hadi sasa vinyago na michoro yake kuendelea kuuzwa kwa bei kubwa sana kwenye mitandao "ebay". http://www.shikra.de/African-Art.html
PichaniLilanga carre' kitambaa chenye thamani ya dollar $500, kilichobuniwa na m'bunifu mkubwa kutoka ufaransa, Bali Barret .
Honey B: "Trust is like a mirror, you can fix it if it's broke." GaGa: "But you can still see the cracks in that mother@#$%&$'s reflection." Hahahah!lol...
Sorry guys I didn't get a chance to cover Oscar's Big day. I was busy. But here is one of my favorites dress from the 2010 Academy Awards red carpet. Worn by Jlo.
Teddy Kalonga attends The 20th Annual Night Of 100 Stars Awards Gala at Beverly Hills Hotel on March 7, 2010 in Beverly Hills, California. Source: WireIMAGE & LIFE
Beyonce akiongozana na mama yake mzazi Tina, jana walifanikiwa kukata utepe rasmi kwa kuanzisha chuo cha kufundisha watu walio tayari kujifunzavocation/trade in cosmetology. Ambayo pia ni moja ya jumba la Phoenix rehab center huko Brooklyn. Threeeeeeeeeeeee, twooooooooooooooo, oooooooooooooone.... :)