Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, January 31, 2010

The 52nd Annual Grammy Awards: Red Carpet

Mastar wengi na kila mtu aliivyaa ku'impress. Lakini yote 9- 10 ebu tuangalie hawa wachache wanao tamba sana Hollywood walitokaje kwenye 2010 grammy Awards red kapetini.
Lea michele wa "Glee"
Ri Ri Heidi Klum
Carrie Underwood
Lady Gaga
Beyonce
Black eyed peas

...unaonaje mdau?

AY ft. Jokate, Amani- "Kings and Queens" Official Video

Is it a beautiful song? THUMBS UP, make-up? KINDA, great video? YES, but... But...I'll be honest with you girls, I mean come'on. This song has been built with some Genge dancing hall rhythm. Where is viuno viuno?... I have never seen dancing hall song without waist shaking. Seriously, It's like being sexy but stiff. Though you can hear a line AY says: "mtoto anazungusha kiuno like give me some more", where is that kiuno queens?... making swagger faces on dancing hall music video it ain't enough Queens.

Saturday, January 30, 2010

Tila Tequila, tayari wajanja washampachika mimba. Otea nani?...

Kwa wadau msio mjua Tila Tequila ni dada mmoja hivi mmarekani mwenye asili ya Asia, ambaye anatafuta umaarufu kwa nguvu zote hapa Hollywood. Alianza kama Dj', akafanikiwa kuwatega fans wengi kupitia myspace page yake kwa pozi zake za kutega mtu, akapata reality TV show, mara akatoa single kadhaa lakini hazikuuza. Haikuishia hapo, kwa kutafuta attentions zaidi... kikaanza tabia ya kutukana na kudhalilisha ma'super star hapa Hollywood.
Kwa ujumla ni kwamba, hakana adabu kabisaa. Hivi karibuni alianzisha kampeni ya ku'date ma'celebrity na kujichanganya na watoto wa matajiri mjini. Oooohhhhh nimechoka kumuelezea,.... Anyways, sasahivi sijui kama umesikia- Inasemekana Rapper mashuhuri The Game kampachika mimba! I hope atatulia. Pichani chini akiwa nje ya studio za Dr. Dre ambaye ni producer wa The Game, akienda kumtembelea dume lake la mbegu. :)..lol!

Kwa mara ya kwanza kabisa, Ellen afanya mahojiani na RiRi...

Here’s the first pic' of Rihanna taping an upcoming episode of “Ellen.”

Haya ni machache waliyozungumza:
Ellen alimuuliza: I read that you said you’re going to fall in love by 31 years old. That is your goal that you have to be in love by 31. Is that real? Did you say that.
Rihanna: No, but I hope I am. 31 is a decade away. I better be in love by then.
Ellen: Are you dating anyone now?
Rihanna: No, I’m single. (tokea lini tena wakati watu tumemwona jamaa?)
Ellen: Really, what about that guy we keep seeing you with… (sawa sawa Ellen!)
Rihanna: (Laughs)

Ellen akaendelea kumuuliza kuhusu tattoos zake : You do know how many tattoos you have, right?
Rihanna: Approximately 13.
Ellen: And what is the new one that you have?
Rihanna: The newest one is across on my chest.
Ellen: What does it say?
Rihanna: It reads, “Never a failure, always a lesson.” Basically saying, it’s OK to make a mistakes just don’t make them twice.
Ellen: That is good to remember. And, she did…backwards so that you could read it.
Rihanna: … In the mirror to myself.
Ellen: I have one that says “Right side up” always reminding me.

The show airs Monday.

Stella Mwangwi-"Take it Back"

For the first time listening to Stella's work I was like wow!...so impressed. And still am. I think she is a genius young lady. Yes, I am takin' about this Kenyan artist goes by the name Stella Mwangwi a.k.a STL. From my experience working with local East African artists, I must say: "Namkubali"...

I think she is truly talented. Female rapper like STL are very hard to find nowadays. Kama anavyosema, "Heshima kwa huyu dada".

So at last, the full Beyonce Heat fragrance commercial...

So sexy! Angalia...

Friday, January 29, 2010

Relief for Haiti Edition Party...

Solange Knowless as a Dj'd guest on the “Relief for Haiti Edition” party to raise funds for those in need in NYC on Tuesday. The event was attended by notables including Jay-Z, Beyonce, Michelle Williams, Andre Harrell, and Steve Stoute.

THE UMODO FASHION SHOWCASE

Umodotz.blogspot.com ikiwa ndani ya uongozi wa mkurugenzi mkuu wa Umodo blog Taji Liundi, pamoja na uongozi mzima wanawakaribisha wote kwenye shughuri hii maalumu ya kufungua mwaka..

Kwa maeleo zaidi bofya hapa=>UMODO

Hollywood Unites for Haiti...


Uchangishaji pesa wa maafa ya Haiti maafaaendelea. Pichani wadau wa Total Knockout blog tukiwa moja kati ya wageni waalikwa katika tafrija hiyo ya uchangishaji pesa usiku wa jana hapa Hollywood.

Hosted by Jimmy Jean Lois & Hakeem kae-kazim

Jimmy jean-louis and Hakeem kae-kazim raise money for Haiti...

Actors Jimmy jean-louis (mostly we know him from series "Hero") and Hakeem kae-kazim (who's now in "The Fouth Kind, Wolverine movie" on red), both unites to raise money for Haiti.

Thursday, January 28, 2010

Mariah carey mtambooo...

Angalia video yake mpya akimshirikisha Nicki Minaj na wimbo “Up Out My Face.” Remix

Uh mmm uh uuh uh...

OMG, shoes!!!

Haipendezi kugomana na Ray C - Mo Q

Mohamed Chalamila a.k.a 'Moe Q' mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye siku za karibuni ametoka kuzindua albam yake ya kwanza na katika kuhakikisha hilo linakwenda kwa mapenzi ya Mungu, anajiweka sawa kumaliza bifu na dada yake, Rehema Chalamila 'Ray C'.

Akiongea na Dar411, Moe Q alisema kuwa amekaa na kufikiri, hivyo akagundua kwamba haipendezi yeye na dada yake kukaa bila kuwa na maelewano. Walikwaruzana vipi!?=> Read more>>>

Source: Dar411

I LOVE YOU MAMA!!!... Thabeets

Waambiwa hakuna mtu kama mama @!!!...
Hasheem thabeet anasema: "I love my mama, man... Mama is everything you ever wanted. It doesn't matter how rich and success I am, my mom is my number 1 (One)treasure! "
Pichani Mchezaji wa NBA Memphis Grizzlies Hasheem chini akiwa na mdogo wake Akbar Thabeet , wakideka na kumuonyesha upendo (bi mkubwa) mama yao.

PS: Don't miss the GAME tomorrow: Memphis Grizzlies Vs San Antonio Spurs, Jan 29 8:30pm at ET

Wednesday, January 27, 2010

Hahaha Mo'nique ni noma Aisee...

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa burudani toka pande zote, basi utakuwa umesikia mafanikio ya mwigizaji na mwanavichekesho Mo'nique.
Hivi karibuni mambo yamekuwa yakimwendea swaaaafi, ikiwemo kufanikiwa kufanya movie "Precious" iliyomwezesha kupokea tuzo 2 kwa mpigo kutoka Critics Choice na Golden Globe Awards huku akiwa ana Talk show yake mpya BET.

Pichani hivi akipozi kwenye Golden Globe Awards akipozz na mumewe hivi karibuni. Huku akiwa ameinua kidogo gauni lake na unaweza kuona anaonekana kuto'mind vinyweleo hasilia.lol!... "Hivi vitu adim kuviona kwa mwanamke yeyote anayejitunza". I think she is so funny!!!...

Happy Birthday Beautiful Michelle!!!

Awwwww....what a cute baby! So adorable, just like her mom Caroline Hilary.
Happy Birthday to you,
Happy Birthday to you
Happy Birthday dear lil' princess Michelle,
Happy birthday to you. Yaaaaaaaaaay!!!!
"Little princess Michelle katimiza mwaka 1."

Nuru The Light Afanya Vyema Dar...

Nuru the Light’ (juu pichani)akiwa pamoja na wasanii wa Kundi la THT wakishambulia jukwaa wakati wa uzinduzi wa albamu yake kwenye Ukumbi wa Florida jijini Dar es Salaam hapo juzi.

Tuesday, January 26, 2010

Millen Has Been Picked as the First Black Face of Ralph Lau'rean'

A Former Miss Tanzania, and a natural born top model Millen Magese, recently has been picked as the first black face of Ralph Laurean. Watu weweeeee!!!... Magese who recently signed with a U.S based modeling agency, Ford Models, this week was also in South Africa for the Audi Joburg Fashion show.
The statuesque model has shown great potential since shooting to fame in 2005. Her climb from obscurity to glamour girl occurred shortly after she made it to the cover of Kenya:Cosmopolitan in 2005, and appeared in couple of Magazines catalogs. That one fateful cover set up a chain reaction that landed her bookings with major shows.

Vijana wa Lakers na Wake zao Watembelea White House Jana Kukutana na Rais Obama.

The avid basketball fan Prez hosted the 2009 NBA champs for a day of touring and chatting. They presented him with a signed b-ball and his own Laker jersey.

Pichani chini ni Mke wa Kobe, Vanessa Bryant
& ofcooooooz Khloe Kardashian Oops..."Mrs. Odom" ana kwa ana na President Obama ndani ya White House.

Monday, January 25, 2010

Hasheem Thabeet and O.J. Mayo led a hand to Samaritan's Feet...



Read more>>...

Hahaha mtoto hajui who Michael Jordan is.lol! Hata mimi ningekua umri wake, I wouldn't. Don't miss the game tonight:
Memphis Grizzlies
vs. Orlando Magic, Jan 25 8:00pm ET

Diddy's son Gets A $360,000 Car for His Sixteenth Birthday

Waambiwa mtoto wako mwenyewe, mdekeze utakavyo weye!!!...Thanks to his dad, hip-hop mogul and businessman Sean "Diddy" Combs, now Justin Dior Combs is the proud owner of a $360,000 luxury sedan.

Naomi Campbell for Haiti...

She’s doing photocalls and making appearances all to raise money for her "Fashion for relief Haiti 2010''. Bravo NC!

Saturday, January 23, 2010

Rapper wa mtundu kike Trina, atangaza ku'adoupt mtoto HAITI

Hapo jana alipata nafasi ya kushare mawili matatu na YBF, hapa ana haya ya kusema:

“With the current state that Haiti is in right now, I personally feel like donating monetary and physical possessions is an enormous and vast donation; however, I would like to contribute on a higher level for more personal reasons like being ready to raise/nurture a child and by being involved on a day to day basis,” Trina states.

“The tragic and untimely list of events that have happened in Haiti–even before the recent “Earthquake”–have made me realize how blessed I am as an individual. I want to share that with a child who is a victim in this disturbing time, in addition to adding on to my immediate family circle.”

“I am in the financial position to adopt, therefore, I am taking it into deep consideration at this time. I have always admired other individuals for adopting children not so much for their celebrity status, but more so because of the nurturing and invaluable change and joy it will bring to a child’s life.”


“Lastly, the fact that I am considering adopting a child from Haiti is even more significant to me because a great deal of adopted children come into the United States from larger countries–like China, Russia and African countries. I also have family members that are of Haitian descent.”


Source: YBF

Friday, January 22, 2010

CNN Along with many Hollywood Celebries Telethon for Haiti...


TK is Back to Black for Haiti...

"Get y'all black cards, black clothes, black hair, all black everything".

If you are in the U.S, even you can donate $10 for Haiti. Call 1(877) 994-2484 /1(877)-99-HAITI or text 50555. You can also Download songs that are sang by big stars like Madonna, Beyonce, Mary J, Justin Timberlake, Rihanna, Taylor Swift and many more.

Diddy on VOGUE

Diddy by Annie Leibovitz, pichani akiwa na model Natalia Vodianova.

Swali Kutoka kwa Mdau wa Total Knoout!!...

SWALI:
Hello Teddy,
Natumaini upo mzima, nilikuwa napenda uzungumzie kuhusu foundation kwenye blog yako. Mie sijawahi kutumia foundation ya aina yoyote, nilikuwa sipendi tu maana natural ni mrembo tosha. Sana sana wanja na lipstick natumia.
Sasa mpenzi nimeolewa hivi karibuni, si unajua tena siku ya harusi nikapakwa foundation basi nikaonekana ni mrembo zaidi. Basi shemeji yako ameniambia niwe naweka hiyo foundation. Si unajua tena inabidi nimrizishe mzee,tatizo langu ni kwamba mie ngozi yangu ipo soft and clean naogopa kupaka hizo foundation kwa kuwa naona kama zitaniletea chunusi.
Najua wewe ni model hivyo utaweza kujua foundation ipi nitumie ili isije niletea madhara kwenye ngozi yangu hii ya uso. Mie nina light skin ambayo ni combination skin.

Swali la kizushi! Hivi wewe unatumia foundation gani? Huwa inakutoa mwaaaaaaaaaaa!! Have gud time & take care!!

Pretty Noel

JIBU:
Hello Pretty,
Ahsante kwa swali lako zuri. Kwanza hongera kwa kupata mwenza na hongera kwa kuwa na ngozi nzuri. Kwa kawaida make-up ni kweli zinauwezo mkubwa wa kuharibu ngozi, na hii ni kutokana na kutoosha sura yako vyema wakati wa kuondoa au hata kutumia make-up isiyo na ubora. Lakini pia make-up uongeza unadhifu wa mtu ki'urembo.Mimi binafsi katika maisha yangu ya kawaida nimekuwa nikitumia L'Oreal foundation,...
Lakini nikiwa kazini huwa napakwa M.A.C. kwasababu ni nzito na inaokana vizuri kwenye professional cameras.
Do:Jaribu LO'real... na kwakuipa nafasi ngozi yako kupumua, paka kidogo. Hasa hasa sehemu ya chini ya macho, kati ya mdomo na pua(sehemu ya mustachi.lol!) Na kidogo kwenye paji la uso. Waweza kutumia brush au sponge ya kupakia...
...lakini hakikisha unasafisha brushes zako kwa kutumia shampoo angalau mara 1-2 kwa wiki. Tumia tishuu za unyevu nyevu au facial cleanser cream kuondoa vyema make-up usoni.
Don't:
Kamwe usithubutu kulala na make-up. Kamwe husithubutu kujishikashika usoni wakati umepaka make-up, kwasababu mikono yetu siku zote hubeba (bacteria)vijidudu visivyoonekana kwa macho.

Karibu kwenye ulimwengu wa make-up Pretty Noel.

Total Knockout Search!!

Custom Search