Jamani huyu mtoto hachoshi kumuangalia... me nilikuwa namtafuta kwenye older post kila siku namuangaliaaa.... bora umemuweka tena, hongera smart girl u have been blessed with the wonderful baby boy!!
Yeah,wadau yaani Marcus anachangamsha nyumba asikwambie mtu. Na sasa hivi ameanza kutambaa basi natamani kumfungia sehem maana kumpiga siwezi ukimwangalia machoni roho inasuuzika yaani utachoka wewe! Namshukuru Mungu kwa kila kitu ndugu zangu. smartgirl:-)
5 maoni / comments:
Hongera smart-girl! Mtoto wako mzuri sana na wewe umependeza mwenyewe hadi raha! Merry Christmas
Jamani huyu mtoto hachoshi kumuangalia... me nilikuwa namtafuta kwenye older post kila siku namuangaliaaa.... bora umemuweka tena, hongera smart girl u have been blessed with the wonderful baby boy!!
Mama na Mwana mmependeza sana. mwanao ni mzuri mama Marcus halafu anaoneka kangamchangamka kwa kweli hadi anatia raha
sikukuu njema
ps, TK nawe tuletee mtoto jamani teh teh
Mariam, anoy na Suzy asanteni saana.Kheri za sikukuu na nyie pia!
Mungu ni mwema,sifa na shukrani apewe yeye.
smart girl.
Yeah,wadau yaani Marcus anachangamsha nyumba asikwambie mtu. Na sasa hivi ameanza kutambaa basi natamani kumfungia sehem maana kumpiga siwezi ukimwangalia machoni roho inasuuzika yaani utachoka wewe!
Namshukuru Mungu kwa kila kitu ndugu zangu.
smartgirl:-)
Post a Comment