Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, October 26, 2010

BABY MARCUS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! SO CUTE!

GOD bless you more and more angel boy MARCUS!!!! Mommy iko wapiii?....Kissses!!!

12 maoni / comments:

mariam said...

Awwwwwwwwww, soooooo cute babyyyy!

TK said...

HAPA SMART-GIRL a.k.a MAMA MARCUS, UMETOA KITU CHA NGUVU!!!
YAANI BADO MCHANGA LAKINI TAYARI ASHAJUA KUPOZI KAMA ACTOR WAKUBWA WA HOLLYWOOD!

ME LOVE BOTH OF YOU SANA!

<3 <3 <3

Anonymous said...

dogo ana pozi la kichokozi

Anonymous said...

mwaaa to mama Marcus so cute bby huwezi kuchoka kumuangalia Mungu akukuzie mwaya lakini mbona anaonekana anapenda kamera sana mana kaiface kabisa hiyo ni dalili ya kuwa msanii very good a.k.a wawooooo,flora

Anonymous said...

hahaha Teddy, inabidi unitafutie Agent lol! Marcus aniletee mama yake hela.
asante kipenzi, yote ni mpenzi ya Mungu.
yaani baada ya kujifungua nimekuwa zaidi kuliko karibu ya Mungu maana nilikuwa naogopa, nilikuwa sijui nilichokibeba tumboni.
we love you too sweetheart!
see you soon.
smartgirl.

Anonymous said...

Jamani he is sooooo awesome, God bless you!1

pretty lady said...

Mtoto mzuri jamani hadi raha.Mungu akukuze salama ili uje kuwa kijana mzuri. Hebu pokea busu na kumbatio.

Anonymous said...

asanteni wadau, namshukuru Mungu kwa kunipa mtoto mwenye afya vingie vyaja baadae na namshukuru pia kunipa mtoto mzuri lol!.

@ Flora huwezi kuamini jinsi anavyopenda kupigwa picha kila ukishika kamera anajua picha hiyo yaani anakuangalia afu anaanza kucheka, yaani utachoka mwenyewe. ukimaliza kumchukua picha anageukia upande mwingine na hacheki anaendelea na shughuli zake. kama mtu mzima nakwambia!

@TK ntamtuma Marcus KWAKO ili uWe unachukua nae picha kazini kwako achkue maujuzi kutoka kwa mama yake mkbwa (teddy kalonga)
MUCH LOVE
MAMA MARCUS

Anonymous said...

i love this baby

Anonymous said...

jamni huyu mtoto ni wa nani

Anonymous said...

huyu ni mtoto wa mdogo wake TK from another mother:-)
smartgirl a.k.a mama Marcus

mariam said...

mhh mtoto mzuriiiiiii! smart girl hapa kweli umetoa kitu hahahaa

Total Knockout Search!!

Custom Search