1. Unapata kujua tabia zao/ wako vipi mbali na Jina lao.
2. Wanafananaje bila make-up
3. Kama wameudhiwa au wamefurahishwa.nk
OTEA... huyu nani?...na yamemkuta yepi...
RIHANNA!:) I guess she is the only black lady red head right now in the entertainment world:)
Hii ni picha yake kutoka twitter akionyesha jinsi upana wa komwe lake ulivyosababisha kujiunguza na ironing wakati akijitengeneza mawimbi nywele zake.
Pic' ya chini kutoka pia kutoka Twitter... huyu ni mke wa T.I. Anaitwa Tiny a.k.a shosti!lol...
kweli mapenzi upofu. Hapa T.I. Dah...


6 maoni / comments:
Aisee, raha kwelikweli
RIHANA, AMEUNGUA CIJUI SALOON
HANIFA
Ameungua na ironing wakati anatengeneza nywele..akasema sababu ya fivehead..lol niko twitter kila siku!!
why you hatin on tiny, y everyone keep saying she ugly? i think she is alright! love is in the eye of the beholder. plus there is more to love than looks girl grow up! kwanza wewe tk mtu angekuambia wewe mbaya cody kakupendea nini mbona ungenuna! ninavyokujua unapenda kusifiwa lol
mdau unachokiongea ni kweli kila mtu anajua mapenzi hayachagui.
ila kwa mtazamo wangu sidhani kama Teddy amemaanisha huyo ni mbaya, ila TI ni mzuri kinoma so kiasi kwamba kuna wanawake kibao wanamtupia macho, kitu kama hicho hadi nimesahau nilichokuwa nataka kuandika.
NB: KILA MTU ANA UHURU WA KUWAZA NA KUTOA MAONI KWA KIMTAZAMO WAKE. SO KWA HILI NAFIKIRI TEDDY HAJAFANYA KOSA. NI MTAZAMO WAKE TU.
SMARTGIRL
SHE LOOKS LIKE KHADIJA SHAIBU AU DIDA wa mchops yule mtangazaji wa radio times bongo au sio wadau?
Post a Comment