Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, August 31, 2010

PROF. JAY ATEMBELEA KABURI LA BRUCE LEE!


Wakati  Tour yake ikiendelea Marekani, Prof. Jay atembelea makaburi ya mcheza sinema mashuhuri Bruce Lee huko Lake View Cemetery mjini Seattle.  
Lake View Cemetery ni sehemu ambayo wachina na watu mbali mbali duniani huenda kusali sehemu hiyo kwa imani zao tofauti tofauti. Prof Jay alifanikiwa kufika hapo kwaajili yakupata kumbukumbu na kusali akiwa kama shabiki namba moja wa BRUCE LEE.

Source: DJ CHOKA

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search