Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, July 26, 2010

Masuperstar wenye Moyo wa Kujitolea Washirikiana Kujitolea Zaidi!

Waenga wanasema umoja ni nguvu, utengano....? ndivyo hivyo Mtu mashuhuli Russell Simmons alivyofanya weekend hii. Aalika mastar wakubwa wenye moyo kama wake wa kujitolea, John Legend, Alicia Keys, swizz Beats, na kuchangia pesa ya Rush Philanthropic Arts Foundation.

John Legend & Russell Simmons.

Russell & actor Anthony Anderson ambaye aliyekuwa MC kwenye shughuri hii.

Rev. Run, Diggy&Russy.

Swizz Beats, Maxiwell, Senita Banks & Anthony Anderson.

Russell, Swizz & Alicia Keys

How cool is that!?...

4 maoni / comments:

JACK said...

Hi Tk, I like your back ground song very much, you made me feel very close to God. Na ameweza nisaidia shinda $50,000 on scratch Ticket last wk, it doesn't get any better than that, thanks GIRL.

Anonymous said...

wewe mrembo umelala? mbona hupost mavituuuuuuuuuuu,,,,,????????????? i miss em! Amka tuwekee mavituz humu.

Anonymous said...

wewe Jack,, tugawane mijihela hiyo................... Mwenzio nimefulia huku bongo.

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

God bless you more JACK! Keep on winning more and more!

nashiriki ktk furaha yako!

xo TK

Total Knockout Search!!

Custom Search