
Daniel a.k.a “Diggy” Simmons (15) mtoto wa Rev. Run wa (Run DMC), afuata nyayo za baba'ake. Siku moja baada ya birthday yake atangazwa rasmi kuingia mkataba na Atlantic Records. Akiambatana na dada'ake Angela na mdogo wake Russy bega kwa bega kushuhudia usahihisho wa ndunguye.
Diggy Simmons- "Made You Look"
3 maoni / comments:
hako katoto jamani kamekua. ilove the whole familia
i love runs house and daddy's girls lol
kazi nzuri diggy.
Post a Comment