


Leo asubuhi na mapema Los Angeles ilikuwa na mshike mshike wa (Marathon) mashindano ya mbio maalumu kwa ajili ya kuchangia mifuko kadhaa ya huduma ya kijamii. Ikiwa na washiriki mashuhuri kama mwigizaji mkubwa Shia LaBeouf (23), ambaye yeye alikimbia juu ya "veterans kuunga mkono U.S. VETS" kwa kuwa baba'ake alipigana vita vya Vietnam. Huku mkenya aliyetuwakilisha vyema "waafrika mashariki" Wesley Korir, alikimbia kwa ajili ya "Kujali Afya ya maji" na kuibuka mshindi katika mbio hizo ndefu zilizo anzia Down Town LA mpaka Santa Monica. Watu 30 walianguka na kushindwa kumaliza na 31 ilipelekea kukimbizwa hospitali ya Santa Monica na UCLA zilizoko karibu.
0 maoni / comments:
Post a Comment