



Cynthia Masasi super model mashuhuri aliyeamua kujikita kwenye maswala ya kuigiza. Mpaka sasa binti huyo mrembo wa kitanzania mwenye aishie Marekani, ameshamegewa vipengere kadha kutoka filamu mbali mbali ambapo American Nurse 2 ikiwa ni moja ya movie alizo cheza. Pichani Cynthia Masasi akiwa na waigizaji wengine washiriki kwenye fungua dimba ya filamu hiyo.
10 maoni / comments:
go girl
SHE LOOKS AWESOME NA WENZIWE KWAKWELI NA HONGERA KWAKE MUNGU AZIDI KUMZIDISHIA...,
Picha ya pili kataka kufanan na VIVICA FOX. Hongera san Cynthia.
disminder.
dear mbona kimya sana..whats wrong? a u ok??
yr fan..
she tries........
tk umefulia au?mbona kila siku nikifungua blog yako nakutana na same thing what's up girl!
vp shost kimeo mbona hakiendi?
Lol mtoto umependeza na unatesa ile mbaya. Nimekuona Friday night live.
sweeeeet!!!
Bless u darling,u gonna make it!
Post a Comment