Updated: "Kwanza kabisa ningependa kuomba radhi kwa wahusika, sababu kwa kawaida ma'celebs huwa hawapendi kufananishwa na celebs wengine:)"...so take it easy! Nasty Thomas and Pras Ray C and Rihanna Crazy GK and DMX FJ and Keri HilsonAnd ofcourse Miriam Odemba & Naomi Campbell! What do u think mdau? Be nice!...
7
maoni / comments:
Anonymous
said...
Hahahahaaaa teddy wewe ni mtundu kiboko!! Duu jamaa wanafana kweli ujue. hao jamaa wa juu ndio wamefanana zaidi lakini
Hapa kuna ubunifu wa hali ya juu. Ni kazi saana kusaka watu wa kona moja ya dunia wanaofanana na wa kona nyingine. Na hasa unapotafuta wale walio katika tasnia moja ama zinazoshabihiana. Umefanya zaidi ya ubunifu na utundu. Umefanya jambo gumu sana Blessings
Hao watu could have been separated at birth, because they look alike so much! Hii post uwe unaweka every week LOOK -A-LIKE tuone wengine utakaoweka!! wasikucopy tu..lol
teddy leo nimekukubali ile mbaya bonge la crearivity kama yalikua ni mawazo yako. Kama ingekua singe basi inge hit ile mbaya. sijawahi kutoa comment kwenye blog yako ila leo nimefurahi sana na hii post big up Mdau Bongo forever
7 maoni / comments:
Hahahahaaaa teddy wewe ni mtundu kiboko!! Duu jamaa wanafana kweli ujue. hao jamaa wa juu ndio wamefanana zaidi lakini
Eli wa makumbusho hapa unanikumbuka?
Hapa kuna ubunifu wa hali ya juu. Ni kazi saana kusaka watu wa kona moja ya dunia wanaofanana na wa kona nyingine. Na hasa unapotafuta wale walio katika tasnia moja ama zinazoshabihiana.
Umefanya zaidi ya ubunifu na utundu. Umefanya jambo gumu sana
Blessings
Hao watu could have been separated at birth, because they look alike so much! Hii post uwe unaweka every week LOOK -A-LIKE tuone wengine utakaoweka!! wasikucopy tu..lol
Are you on crack?
teddy
leo nimekukubali ile mbaya bonge la crearivity kama yalikua ni mawazo yako. Kama ingekua singe basi inge hit ile mbaya. sijawahi kutoa comment kwenye blog yako ila leo nimefurahi sana na hii post big up
Mdau Bongo forever
kuna jamaa anaitwa terrence na tyrese
mi nilikuwa nawafananishaga pia
Pam
mbona umemsahau cinsia masasi anafanana sana na vivica fox sijui kama anajua hilo na wewe pia unafanana na beyonse
Post a Comment