
Kwa wadau msio mjua Tila Tequila ni dada mmoja hivi mmarekani mwenye asili ya Asia, ambaye anatafuta umaarufu kwa nguvu zote hapa Hollywood. Alianza kama Dj', akafanikiwa kuwatega fans wengi kupitia myspace page yake kwa pozi zake za kutega mtu, akapata reality TV show, mara akatoa single kadhaa lakini hazikuuza. Haikuishia hapo, kwa kutafuta attentions zaidi... kikaanza tabia ya kutukana na kudhalilisha ma'super star hapa Hollywood. Kwa ujumla ni kwamba, hakana adabu kabisaa. Hivi karibuni alianzisha kampeni ya ku'date ma'celebrity na kujichanganya na watoto wa matajiri mjini. Oooohhhhh nimechoka kumuelezea,.... Anyways, sasahivi sijui kama umesikia- Inasemekana Rapper mashuhuri The Game kampachika mimba! I hope atatulia. Pichani chini akiwa nje ya studio za Dr. Dre ambaye ni producer wa The Game, akienda kumtembelea dume lake la mbegu. :)..lol!
9 maoni / comments:
TK,the Game amekataa kuwa siye baby daddy wa mtoto wa Tila..nenda TMZ website ujionee the Game akihojiwa live na Harvey.jamani TK naomba usimpe airtime kwenye blog yako huyu attention seeker..
Teddy hivi zinakushinda nini kuandika mashuhuri na si "mashughuri" Damn girl kiswahiki kwako imekuwa ngumu eh? na hizo "L" instead of "R" mhh mwezetu..I hope kiinglish chako huongei hivyo kwma unavyoandika...
hi..naotea aliye mpachika mimba nikidume from sweden....na pia kunakipindi chake walikuwa wanakirusha huku.huyu tila mpennnnnnnde wake na waume.
si lesbian huyu!!!
Mh shosti kapatikana si kidogo. Tabia yake mbona inataka kufanana na mtu fulani ehehhehe
1-atukana watu maarufu
2-kucha kijipendekeza kwa watu maarufu
3-kuutafuta umaarufu kwa nguvu
4-swali yeye nani? au ana kazi gani hapa mjini? kwikwikwi
LMAO mpaka fake boobs
TK usinge hata mpa nafasi kwenye blog yako I know this chick man
I can't stand Tila. Ila u have to give it to her, anajua kutafuta umaarufu!
kwa kweli mie simjui tila so siwezi kuchangia kitu hapo. nilikuwa napenda saana kufatilia ile tv progam yake iliyokuwa inaonyeshwa Mtv.nilikuwa namfagilia kweli, nilikuja kuchoka pale mme wangu aliponiambia tila alikuwa porno star kabla ya hapo. nikakimbia mbio kugoogle ndo hapo nikachoka na hadithi na naye ikaishia hapo.
anyaway, kila mtu ana njia yake ya kufanikiwa katika maisha, na kila mtu anaishi jinsi anavyopenda yeye so mi namchukulia kama binadam mwenzangu tu...
smartgirl..
jamani si alikuwa engaged to the johnson socialite akasema pray for her wifey alivyofariki mbona kapata mimba it even hasnt even passed a month since huyo wife yake kafa
Post a Comment