For the first time listening to Stella's work I was like wow!...so impressed. And still am. I think she is a genius young lady. Yes, I am takin' about this Kenyan artist goes by the name Stella Mwangwi a.k.a STL. From my experience working with local East African artists, I must say: "Namkubali"...
I think she is truly talented. Female rapper like STL are very hard to find nowadays. Kama anavyosema, "Heshima kwa huyu dada".
3 maoni / comments:
duhuu leo ume het the point mtoto huu ana talenti ya uimbaji si mchezo.yaani hapa nilipo kani[pandishaa stimu ngoja nikasake ndumu kwanza!
mdau alaskaa kwa sarah pallini
Ok I know this girl, she live in Oslo- Norway and basically from Kenya kikuyuuu hoyeeee.... She is talented and she can rap... keep it up STL.
stella alihit saana mwaka jana mwanzoni na nyimbo yake "TAKE IT BACK" na mie nikawa mshabiki mkubwa. since stella ni mwafrika basi ndo mtu unazidi kuproud utokako.. hahahah sijasema ni mtoto wa mjomba lakini lol!
sasa bwana wanorwegian wanachoniuaga yaani hata ukiwa na uraia wao bado utaonekana mwamihaji tu ila nilichoka pale niliposikia wanamwita stella (jenta vĂ¥rt) eti msichana wao. kwa vile amehit basi ndo ameshakuwa mnorwegian. nikasema ama kweli,nakumbuka shemeji yangu aliniambiaga kuwa ukitaka wanorwegian wakuheshim, usiwe sambamba nao darasani... kuwa wa kwanza darasani na usiwaonyeshe kwamba wao ni better.kama ni shule basi waonyeshe umeenda shule na sio kutafuta marafiki ama mpirani woanyeshe umeenda kusakata boli na sio kupiga zogo nao. na hiyo kitu ni kweli kabisaa... ukiwa busy zako na kutengeneza style life yako kivyako wanakuheshim wote.
anyway, hadithi sio kuhusu wanorwegian samahanini kama nimetoka nje ya mada.. subiri nirudi kwa dada stella.
ANAIMBA VIZURI NDIO.
je tk hunaona video zake zingine? kwa kweli sijapenda hata moja zaidi ya hii "TAKE IT BACK"
je tk hunanotice uvaaji wake na nywele zake ni mbalimbali na yeye? kwa kweli hajawahi kunivutia kabisaa naona kama mchafu flani. wigi sijui anajisuka mwenyewe? noo kwa kweli hana wa kumshauri sijui uwiii..
smartgirl
Post a Comment