Hakuna kitu kizuri kama kumuona mtu wa nyumbani kwenu anafanya makamuzi ughaibuni. Yaani ni full kujivunia! Inamfanya mtu ujisikie raha sana! Especially pale unapotoa intro, "mtanzania mwenzangu yule! Kweli kabisa!!!"...LOL!
Heyyy,...don't forget to watch his game tonight, Memphis Grizzlies vs. Phoenix Suns, Jan 18 5:30PM ET wataonyesha TNT. Have a nice monday!
8
maoni / comments:
Anonymous
said...
hahahaha baba yake na bibi yake ambae wanashare aunty ambao mjomba wao ni bindam na mama ambae wanaitana mpwaa hahahaha Funny :-)kuna mtu ni mtaalam wa kuunganisha hii ya udungu wa pyeee utacheka
Hahaha...he surely does have a good job right now. Should have been an emotional moment for him at that time but its an example to everybody, if you work hard, you will succeed! congrats nyingi kwake...wish i was in USA so i cn see him playin
hahahaha TK wat your young bro did?Ilikuwa Dorooo namnukuuu Salam Jabir kiukweli anajitia kutok da Yes U know me wat am saying Eti kikwete hawez eti kikwel jamni Tk ulitok kuhusu wat kujibadili 4 real waz boring ...Nadhani wewe unaringia ascent yako plz tok na huyo Bro ajue kuwa hapo safari ndo anaanza looh
Du jamani juzi tu jamaa na hiyo lafudh!!!!!??? inasikitisha, nampenda sana na namtakia kila la kheri lakini huu ni urimbukeni uliopitiliza. sina kinyongo wala nini but that was too much.TK na refer ur last topic uliyosema unajivunia lafudhi na huyu bro vip????
8 maoni / comments:
hahahaha
baba yake na bibi yake ambae wanashare aunty ambao mjomba wao ni bindam na mama ambae wanaitana mpwaa hahahaha
Funny :-)kuna mtu ni mtaalam wa kuunganisha hii ya udungu wa pyeee utacheka
Pam
well done and all the best
disminder
Hahaha...he surely does have a good job right now. Should have been an emotional moment for him at that time but its an example to everybody, if you work hard, you will succeed! congrats nyingi kwake...wish i was in USA so i cn see him playin
LOL! TK u r so funny! U made laugh on this one kwikwikwii
hahahaha TK wat your young bro did?Ilikuwa Dorooo namnukuuu Salam Jabir kiukweli anajitia kutok da Yes U know me wat am saying Eti kikwete hawez eti kikwel jamni Tk ulitok kuhusu wat kujibadili 4 real waz boring ...Nadhani wewe unaringia ascent yako plz tok na huyo Bro ajue kuwa hapo safari ndo anaanza looh
Du jamani juzi tu jamaa na hiyo lafudh!!!!!??? inasikitisha, nampenda sana na namtakia kila la kheri lakini huu ni urimbukeni uliopitiliza. sina kinyongo wala nini but that was too much.TK na refer ur last topic uliyosema unajivunia lafudhi na huyu bro vip????
ni raha tupu nd ur funny tk
http://evejames.blogspot.com/
hahahaha Teddy hujatulia wewe, nimecheka huo utambulisho wa ndugu, manake hadi umalize utambulisho mtu anakuwa ameshapoteza connection
Post a Comment