Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, January 16, 2010

Mie Miaka 6-7 iliyopita...:)

At Slipway...
Hivi nimebadilika au still the same?.... Miaka inaendaa eh!? Feels like yesterday though...

25 maoni / comments:

Anonymous said...

Mmmh TK. yaani mimi sisemi
Wewe mtoto ni mzuri mpaka basi

Anonymous said...

nywele nyeusi kama hizo zinakupendeza

mdau fin said...

hujabadilika wala nini tk. hapo huna make-ups kwa sana na still u look mwa!

Anonymous said...

hujabadilika dear just umeongezeka tu kidogo :)

Anonymous said...

enzi zile ulikuwa hujui kujikandika make-ups;ngozi imetakata zaidi kwa sasa,unatema umombo kwa sana tu! What else? Upo majuu hukai tena Mbagala! I hope siku hizi unasalimia kila mtu sio kama ulivyokuwa East Africa TV!Msichana ulikuwa unapita watu kama milingoti!!!

Anonymous said...

Hey bff where did u find this pic lol..Naona U felt like kickin it oldschool eeh..Ok sisemi this just because ur my bff ila u gettin pretty everyday!!! btw credit to the photographer LOL

Anonymous said...

very cute! nilikuwa nataka uliza lips umezifanya nini kabla sijaona hii picha bt now baada ya kueka hii picha nimepata jibu all natural

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

Hahahaa yes, bff! nakumbuka wewe ndio ulinipiga hii picha. Halafu tulikuwa tunakula our favorite ice-cream that day, u can see was all over my lips. lol! Love you bff!

Thanks guys.

Anonymous unayesema nilikuwa sisalimii watu, that's true. And I think that wasn't a good behavior.
Ni utoto, ujinga na aibu I think.

Ila ukisema uangalia upande mwengine wa shilingi, ni ngumu kuwa wa kwanza kumsalimia mtu usiyekujua...unaweza kuulizwa do I know u? Sasa sijui utajibuje!lol:)
And also just to let u know I am a very shy person. Niko more comfortable behind the scene, like on TV, blogging, but live nina aibu sana.

Sorry if I hurt your feelings!:(

ps: Acha ujinga, sijawahi kuishi mbagala.

<3TK

Anonymous said...

ulikuwa meusi kidogo sasa umekuwa too light..na umenona kidogo sasa ivi..

Candy1 said...

Same face but you shine more :-)

Anonymous said...

Ha ha ha ha!Eti ulikuwa unaishi Mbagala yaani hiyo kweli inachekesha! But mbona umejibu kwa hasira kwani Mbagala kunani?
Well, hata kama ni shy girl lakini hata wafanyakazi wenzio wa Kampuni moja shost that's was unbelievable! Anyway Umekuwa sasa na lonely US life naona imekuwa easy ku-adopt Sine kila mtu anamind his/her own business! By the way how is your sister who used to act in the group known as KIDEDEA?
Asha, Bongo

shamim a.k.a Zeze said...

WA WA WA.....we good people tumezaliwa mwezi huuu lol......jamani kilichobadilika unazidi kupendezaaa tu

Happy birthday my star mate...wink

Anonymous said...

MZURI MZURI TU HATA AVAE GUNIA
WE MZURI, HUKO NDIYO UNAZIDI KUWAUWA WAKAANGA SUMU!!!!

disminder

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

Coz sipendi watu wanao sema uongo...mara alikuwa anaishi mbagala, mara manzese, mara sinza, utasema wananijua sana. Nimezaliwa upanga, nimekulia Kinondon Mosco(mkwajuni), Lugalo jeshini, na mbezi beach. Happy now?...
And hiyo kutosalimia wafanyakazi wenzangu Asha that's not fear. Mtu utasalimia wangapi? I 'm sure hata wewe kama tulifanya kazi wote hukuwa unanisalimia. Kampuni kubwa mtu baada ya kufanya kazi utakuwa unapita unasalimia kila mtu? unayemjua husiye mjua, shikamoo shikamoo.lol!

Don't take it personal. As I said before utoto,shy or you can call it ujinga but all & all I was trying to protecting myself.
Pole if I hurt your feelings.

Yes Zeze it's 2 years now since I started blogging. That means me and KIM mimi nimeanza. lol!

TK

Anonymous said...

hili swali la ooh TK ulikua usalimii watu is silly.wewe unaniambia unasalimia tu watu hata kama huwajui.next time mtasema halikua hanajikomba.....keep your head up.wewe ulimsalimia kwanza?????????.grow up people

Bongo Geek said...

Hivi ni nini shida kwani, mbona kila comment ambazo zinamuhusu huyu dada kuna 'chuki na shavu'.

Nimeona sehemu kibao sio hapa tu! Labda wewe dada sasa ungechukua nafasi ya kutoa maelezo ya kila tuhuma ikibidi (ikiwezekana).

kama katika hii naona ume-jaribu ku-cope with'em haters na kushughulikia lawama ambazo umetupiwa (Cool!).

Back to the subject sasa! 'Picha nzuri nadhani I have a new wallpaper on my desktop after some photoshoping and so n so...

Kz - Arusha!

Anonymous said...

TKC baby.
ALIYEJUU UKITAKA KUMSHUSHA MPAKA UMFUATE JUU.

ACHANA NA WAKAAANGA SUMU.
DAR SIKU HIZI HAKUNA MAENDEO KAMA ZAMANI MUHIMU NI MAISHA UNAYOISHI WEWE. MASUPA STAAA WANGAPI WANAISHI MBAGALA?

POLE ASHA KUMBE BADO MVIMBA MACHO?

Anonymous said...

heheheh..mdogo ake tk alikuwa anact kidedea?hehehehehehe jamani tk plz tunaomba maelezo..

Anonymous said...

huyo demu mwehu achaneni nae
katumwa tena asifikiri ataharibu siku ya TK nevaaaaa
kwanza mi mtu fudenke alivotumaga email yake na kusema unakaa manzese nilimshangaa na kuona mwongo ndo mana huwa simwamini ,mi najua umekulia mkwajuni tena kweni wala sio kupanga,,
sema basi usilolijua ni kama usiku wa giza..
enjoy baby gal with yo happy life!

Anonymous said...

Kweli atoe maelekezo manake naona watu wanamjua kuliko anavyojijua yeye! Kwani Mdogo wake aki-act kidedea kunani? Acheni kuwa nakuitana watu wehu! Mie naishi Buguruni Mnyamani na wala sioni so ya kusema naishi wapi...yote maisha!

Inviolata said...

Tk Mie picha yako niliyoipenda kuliko zote ni ile ya matangazo nafikiri ilikuwa ni Zain enzi hizo Celtel kama sijakosea. Please kama unayo iweke hapa kidogo. Lakini hata hii ni nzuri, less make up and innocent face. Big up!

rea said...

u luk so cute bby..

Anonymous said...

KAMA HATA ALIISHI SHIMONI KARIAKOO, LEO YUKO WAPI?

NA HATA KAMA ANGEISHI JUU ANGANI
KESHO ANAENDA WAPI?

MUNGU NDIYE ANAPANGA MJA WAKE ATAISHI VIPI HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.

fungua blog yako basi tupe habari zako nawewe!!!

disminder

Anonymous said...

mtoto unaonekana mtamu sana wewe sio siri

Mamatembo said...

Jamani TK nayemjua mimi is very sweet. Tena nakumbuka enzi zile alimwona mamangu anangoja bus keko akampa lift mpaka nyumbani (mind u, ni mmama tu kamwona njiani, hamjui wala nini). And one day i met her at Clouds FM studio, she smiled at everyone she made an eye contact with. If that's not being a good person then i don't know what is.

You look b'ful hapo n now pia.

Total Knockout Search!!

Custom Search